Plot4Sale Eneo ekari 3.77 linauzwa ndani ya jiji la Dodoma, liko barabarani

fleetwood

Member
Nov 7, 2014
9
6
Eneo liko Msalato almaarufu kwa mwinyi (Arusha Road) kunakojengwa Dodoma International Airport. Eneo liko barabarani linapakana na hotel ya kitalii ya FANTANCY.....lina ukubwa wa ekari 3.77, Eneo limepimwa na limeingizwa kama lilivyo kwenye master plan ya jiji la Dodoma kama ilivyo onekana kwenye picha. Eneo linafaa kwa kuweka Kituo cha mafuta, Hotel, Apartments, Shule etc..

BEI NI TZS....160,000,000 M

Mawasiliano... 0755252659 au 0755517964 (Only Serious Customers)

NI MMILIKI NAUZA HAKUNA DALALI

Karibuni

IMG-20190619-WA0007.jpg
IMG-20190619-WA0012.jpg
 
Eneo liko Msalato almaarufu kwa mwinyi (Arusha Road) kunakojengwa Dodoma International Airport. Eneo liko barabarani linapakana na hotel ya kitalii ya FANTANCY.....lina ukubwa wa ekari 3.77, Eneo limepimwa na limeingizwa kama lilivyo kwenye master plan ya jiji la Dodoma kama ilivyo onekana kwenye picha. Eneo linafaa kwa kuweka Kituo cha mafuta, Hotel, Apartments, Shule etc..

BEI NI TZS....160,000,000 M

Mawasiliano... 0755252659 au 0755517964 (Only Serious Customers)

***** NI MMILIKI NAUZA HAKUNA DALALI********

Karibuni
Mmh!!!! bei 160m za Kitanzania duh
 
Back
Top Bottom