Hahahahaha....Tangia mwaka juzi umri wake hauongezek tuuu???. Me natafuta nguvu za kiume ili nitotoleshe kama hao wa kutosha
Ukubwa au udogo wa muhogo ni comparative mzee. Hata uwe nalo kama mtwangio lakini ukikutana na mwenye bwawa la kufugia kambale, bado utaonekana una kibamia tu.Unaweza kuwa na machine kubwa alafu inakuwa aina nguvu, tatizo naona lipo kwenye nguvu za kiume na sio ukubwa wa muhogo, au nimekosea wakuu?
He was born in 1994 sasa unasemaje ana 21
Damu changaaaaaaaa kabisaaaaaaa. ......Kibenten
Sema mkono ushakutupa mkuu
Bwawa la kufugia kambale!Mmmmh!Ukubwa au udogo wa muhogo ni comparative mzee. Hata uwe nalo kama mtwangio lakini ukikutana na mwenye bwawa la kufugia kambale, bado utaonekana una kibamia tu.
Sijapanic braza, nimetoa tu mchango wangu wa mawazoHaha usipanic bro