Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,105 Reaction score 828,991 Oct 26, 2015 #1 Nazo nimezipata hapo hapo mahali
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,105 Reaction score 828,991 Oct 26, 2015 Thread starter #2
S suplex city JF-Expert Member Joined Sep 29, 2015 Posts 433 Reaction score 117 Oct 26, 2015 #3 Mbona hazifunguki
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,105 Reaction score 828,991 Oct 26, 2015 Thread starter #4 suplex city said: Mbona hazifunguki Click to expand... Hiyo shida ipo JF siku mbili hizi
NullPointer JF-Expert Member Joined Feb 7, 2011 Posts 3,461 Reaction score 2,275 Oct 26, 2015 #5 Mkuu bahati yako tu leo JF kwenye mashine yangu sioni like button
webondo JF-Expert Member Joined Apr 29, 2012 Posts 1,713 Reaction score 383 Oct 26, 2015 #6 Hahahahah kweli umenihamisha kidogo toka huko katika stress za siasa
BUBE JF-Expert Member Joined Nov 9, 2010 Posts 845 Reaction score 254 Oct 26, 2015 #7 Sijui nchi gani hiyo
witnessj JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 28,839 Reaction score 47,746 Oct 27, 2015 #8 BUBE said: Sijui nchi gani hiyo Click to expand... BUBE...nahisi we ni my young bro from ma suzi kipunguni, if not forgive me ndugu! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
BUBE said: Sijui nchi gani hiyo Click to expand... BUBE...nahisi we ni my young bro from ma suzi kipunguni, if not forgive me ndugu!
BUBE JF-Expert Member Joined Nov 9, 2010 Posts 845 Reaction score 254 Oct 28, 2015 #9 witnessj said: BUBE...nahisi we ni my young bro from ma suzi kipunguni, if not forgive me ndugu! Click to expand... witnessj - Nitaku PM inawezekana labda japo maeneo hayo sijakwenda
witnessj said: BUBE...nahisi we ni my young bro from ma suzi kipunguni, if not forgive me ndugu! Click to expand... witnessj - Nitaku PM inawezekana labda japo maeneo hayo sijakwenda
witnessj JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 28,839 Reaction score 47,746 Oct 28, 2015 #10 BUBE said: witnessj - Nitaku PM inawezekana labda japo maeneo hayo sijakwenda Click to expand... Mpaka hapo sio wewe...BTW thanx much kwa kurespond!
BUBE said: witnessj - Nitaku PM inawezekana labda japo maeneo hayo sijakwenda Click to expand... Mpaka hapo sio wewe...BTW thanx much kwa kurespond!
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,297 Reaction score 21,699 Oct 28, 2015 #11 Mi siku sioni picha kabisa.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,105 Reaction score 828,991 Oct 28, 2015 Thread starter #12 Angel Nylon said: Mi siku sioni picha kabisa. Click to expand... Zinasumbua kuupload wife, VP Zenji huko? Am so worried? Mko salama? Usikose kutujuza pls.....tuwawaombea dua njema
Angel Nylon said: Mi siku sioni picha kabisa. Click to expand... Zinasumbua kuupload wife, VP Zenji huko? Am so worried? Mko salama? Usikose kutujuza pls.....tuwawaombea dua njema
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,297 Reaction score 21,699 Oct 28, 2015 #13 mshana jr said: Zinasumbua kuupload wife, VP Zenji huko? Am so worried? Mko salama? Usikose kutujuza pls.....tuwawaombea dua njema Click to expand... Ndo naona ati. Agh, huku duaa zenu kwa wingi jamani. Mji umetanda kimya kikubwa. Tuliambiwa matokeo watatoa leo saa 4. Sasa tumeskia tena kuwa matokeo watatoa saa 10
mshana jr said: Zinasumbua kuupload wife, VP Zenji huko? Am so worried? Mko salama? Usikose kutujuza pls.....tuwawaombea dua njema Click to expand... Ndo naona ati. Agh, huku duaa zenu kwa wingi jamani. Mji umetanda kimya kikubwa. Tuliambiwa matokeo watatoa leo saa 4. Sasa tumeskia tena kuwa matokeo watatoa saa 10
Sabry001 JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,064 Reaction score 355 Oct 28, 2015 #14 Nimecheka ka pungumoja yani
nyamchele JF-Expert Member Joined May 28, 2014 Posts 1,325 Reaction score 1,038 Oct 28, 2015 #15 NullPointer said: Mkuu bahati yako tu leo JF kwenye mashine yangu sioni like button Click to expand... Nilifikiri ni kwangu tu, ingawa wengine wanalike na unaona, ila hata mimi kitufe cha 'like' hakipo....
NullPointer said: Mkuu bahati yako tu leo JF kwenye mashine yangu sioni like button Click to expand... Nilifikiri ni kwangu tu, ingawa wengine wanalike na unaona, ila hata mimi kitufe cha 'like' hakipo....
nyamchele JF-Expert Member Joined May 28, 2014 Posts 1,325 Reaction score 1,038 Oct 28, 2015 #16 mshana jr said: View attachment 302967 Click to expand... Duuuu.......................
Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 13,208 Reaction score 20,954 Oct 28, 2015 #17 suplex city said: Mbona hazifunguki Click to expand... Nilihisi simu yangu imeanza kuzingua kumbe tuko wengi.
suplex city said: Mbona hazifunguki Click to expand... Nilihisi simu yangu imeanza kuzingua kumbe tuko wengi.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,105 Reaction score 828,991 Oct 28, 2015 Thread starter #18 Angel Nylon said: Ndo naona ati. Agh, huku duaa zenu kwa wingi jamani. Mji umetanda kimya kikubwa. Tuliambiwa matokeo watatoa leo saa 4. Sasa tumeskia tena kuwa matokeo watatoa saa 10 Click to expand... Tuombeane tu maana huku nako sintofahamu itaanza muda si mrefu.... Lakini inshallah Mungu atawaepusha na mabalaa yote
Angel Nylon said: Ndo naona ati. Agh, huku duaa zenu kwa wingi jamani. Mji umetanda kimya kikubwa. Tuliambiwa matokeo watatoa leo saa 4. Sasa tumeskia tena kuwa matokeo watatoa saa 10 Click to expand... Tuombeane tu maana huku nako sintofahamu itaanza muda si mrefu.... Lakini inshallah Mungu atawaepusha na mabalaa yote
roby2006 JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 421 Reaction score 113 Oct 28, 2015 #19 hapa kidogo nimepungaza stress za matokeo ya lubuva
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,297 Reaction score 21,699 Oct 28, 2015 #20 mshana jr said: Tuombeane tu maana huku nako sintofahamu itaanza muda si mrefu.... Lakini inshallah Mungu atawaepusha na mabalaa yote Click to expand... Amin amin amin. Kuvumiliana pia muhimu.
mshana jr said: Tuombeane tu maana huku nako sintofahamu itaanza muda si mrefu.... Lakini inshallah Mungu atawaepusha na mabalaa yote Click to expand... Amin amin amin. Kuvumiliana pia muhimu.