Endapo umeudaka huu mzigo

Ukiudaka huo lazma utakuwa chizi
 
Laiti ningepata japo moja tu......!
 
Wee Bulldogo khaaah!! huo mzigo hata pakuweka hapa nchini hakuna!! "SECURITY" gani tunayo?
mie nausamehe tu.....
 
Last edited by a moderator:
hivi kwa makisio hilo pande moja n shilingi ngapi kwa pesa ya madafu
 
Nikiupata naubeba wote kwenye pickup yangu nauza moja baada ya nyingine. Hela nikiipata nanunua stocks S&P 500
Na nani atakae kuachia uwe huru hivo!! Bongo watu wote watuwa against you!! (polisi,majambazi,Trafiki,TRA,vibaka,CD,nk nk) watakuraruwa vizuri!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…