Elections 2010 Endapo Kampeni ya kumzuia JK kugombea 2010...

bm21

Kauli yangu ya kwamba JK ni kijana ndio propaganda iliyotumika mwaka 2005, wazee wapishe vijana waje. Alikuwa kijana kabisa! Leo kama tumezinduka tunasema sio kijana hayo ni maswala mengine. Kwangu naona ni mtu wa makamo ya kati, umri mzuri kabisa wa kuwa raisi kwa mtu yeyote.

Maandamano ya kupinga uamumizi, yatakuwa magumu kama wewe sio mwanachama wa ccm. Kwani mgombe uraisi anachaguliwa na chama chake. Labda nguvu uliyonayo ni katika kupiga kura! Je huwa unapiga kura!
 
Nadhani hata fikra ya kuchia ngazi hana sababu sababu ni kijana na pia atapata tabu kwa wakuba wa mafisadi

kwanza anatikiwa malize mambo ya mafisadi ndio afanye hivyo na nchi haija kaa sawa
 
The average lifespan of a Tanzanian male is about 50 years of age, so in light of that Kikwete is NOT young. We live in two different worlds, sisi wasomi na wa mjini na wenzetu mikoani. Kikwete siyo kijana ni babu in the eyes of the general population of Tanzania, lakini in our Westernized eyes the age of 50 something is young because in Europe and the US that is the perception.

Lakini nisitoke nje ya mada: nakubali ya kuwa ni maamuzi magumu kwa JK kuachia ngazi, lakini haikuwa rahisi wa Nyerere kuachia ngazi either. Mi nadhani siyo uzito wa uamuzi bali it is the depth of character of the individual that counts.

JK does not have the intelligence, strength of character and courage to step aside, he will just go with the flow and that will be his downfall. Akiendelea mpaka 2015 he wil go down in history as:

- Mwenyekiti wa CCM aliyefanikiwa kuisambaratisha chama chake
- Worst president aliyeipelekea nchi katika matatizo makubwa ya kiuchumi.

Na hapa nazungumzia ishu ambazo ni dhahiri, and then there are a whole bunch of probabilities that I would not list maana I am hoping that for the sake of the country, JK will step aside.
 
Asie chie ngazi kabisa ,mwacheni aumwe na kichwa ,asipate usingizi ,lakini tunataka amalize ngwe yake ya miaka kumi,mwacheni amalize.

One day Yes tutapata kiongozi ambae atakuwa na ubavu wa kuwahoji hawa Maraisi wanaomaliza miaka kumi ,nini walikifanya na kwa nini hili na lile hawakulisemea wakati walikuwa na uwezo ,ndio maana yake asije mtu akasema mimi nilikuwa nilivalie njuga lakini sikupata miaka ya nyongeza ,ni kujitetea tu japo ni nonesense. Mwacheni Kikwete aendelee na mwengine lakini wakumbuke kama wababe hawatatokea upinzani na kuwaweka kiti moto basi humo humo CCM kutatokea mwenye usongo ambae atatumia hao viongozi waliopita kuwafurahisha wananchi na kujiwekeza zaidi kwa wananchi kuliko kwenye Chama na njia ya kujiwekeza huko ni kuwakamata mafisadi wote na kuwatia adabu ,ni very cheap political tactics to gain imani za wananchi just kwa kuwakamata watajwa wote wa ufisadi naamini ,atatokea kiongozi na kuitumia nafasi hii bila ya huruma na huyo ndie atakae kuwa hana ubia na wengine katika uongozi wake, unafikiri wananchi wakimpata kiongozi wa aina hiyo watakuwaje.Kama sikuona kuwa wamepata mkombozi ,ndio maana yake ,mwacheni amalize miaka yake mitano na mingine mitano ya bonus.
 
The average lifespan of a Tanzanian male is about 50 years of age, so in light of that Kikwete is NOT young.

Wastani wa maisha ya wanaume watanzania ni miaka 50.
Kikwete ataishi miaka 50

Hii ni Falacy mzee.Kwa maneno mengine hoja yako haina mantiki kwa sababu hauwezi kutumia general observation ili u conclude kwa individual case, ila unaweza kutumia individual cases to derive a general conclusion.
 
...nakubali ya kuwa ni maamuzi magumu kwa JK kuachia ngazi, lakini haikuwa rahisi wa Nyerere kuachia ngazi either. Mi nadhani siyo uzito wa uamuzi bali it is the depth of character of the individual that counts

Unajua mwalimu, wakati anaachia uongozi 1985, alikuwa hana kashfa ya Rushwa, alikuwa anakubali kushidwa kwa ujamaa, hali halisi ya uchumi na huduma tanzania na kukubali uhalisia wa vyama vingi ambao ndio ulikuwa msukumo wa kimataifa wakati huo. Kwahiyo alipotoka aliweka historia ya kiongozi wa kwanza wa afrika aliyeachia ngazi kwa hiari, na akaheshimika kwa hilo hata kwa wale waliopinga itikadi yake.

Sasa JK mazingira yake ni magumu kidogo, Kwanza uongozi wake umegubikwa na kashfa za rushwa, pili mazingira ya dunia yamebadilika na wananchi wanaweza kushtaki viongozi wao. Tatu, jamii za kimataifa zinapiga rushwa sana kwahiyo akiacha kwa kashfa za rushwa hata kibarua anaweza kukosa.

Nionavyo mimi, kuacha kwake haitategemea hulka yake pekee, itategemea zaidi wananchi na serikali ya Tanzania kama ipo tayari kumlinda JK.

Nadhani Ili JK afikirie kuacha uraisi

a) Kwanza lazima achague mtu atakayechukua madaraka ya uraisi, anayemwamini na kuahidi atamlinda, hii inamaana upinzani hawatachukua ungozi kwa miaka 10 ijayo.

b) Pili, kuwe na mabadiliko ya agenda katika tanzania, swala la ufisadi liwekwe chini ya kapeti. Na agenda iwe kujenga nchi, na hata vita ya ufisadi vikiendelea, iwe kiini macho tu.

Swala Je taifa liko tayari kufumbia macho ufisadi ili kikwete aichie ngazi? Faida zake ni nini!
.
 
Uzuri ni kwamba hakuna anayekatazwa kuota mchana...endeleeni na ndoto zenu

A person who has no dream is dead person my friend! Let people dream -even if that dream is far fetched. Let people wish, even if that wish is an abstract. If the dreams and wishes looks for a possibility for change, it is in deed a worth wish and a dream to dream and with to wish for.

Hebu let's pretend we don't know what will happen in next year. Of which we don't know. Our current trend in politics has surprised great, and i found it ironic if anybody will pretend to know what will happen in 2010. Let it be my pleasure to remind you our recent history - only of 2008/2009. Tell me, who knew EL will resign! Who? Let's not us pretend we have all the answers! Who knew Mwakyembe report will hold water - to shame our political leaders! who! Who knew Tanesco will withdraw from buying dowans machines!

We can't ignore what is going on in the media and our public as if they are nothing! We can't pretend it does not influence people's mind! We can't assume the role of court currently does not fuel people with anger or create fear to our leaders. With all due respect we can't pretend president is not thinking! at least i know he should be capable of that!

I wish not, the president to be surprised by ballot box because the cost might be great! I wish the president not to ignore what is going on because the outcome might no be thinkable.

I believe citizens are being conscious of what is going and someday, collectively will make a decision. So it is better our president make his before them.
 
Last edited:
Kuna msemo unaosema Nyani haoni nyuma kwake.

Mutuambie basi nani bora zaidi leo.
 
Wastani wa maisha ya wanaume watanzania ni miaka 50.
Kikwete ataishi miaka 50

Hii ni Falacy mzee.Kwa maneno mengine hoja yako haina mantiki kwa sababu hauwezi kutumia general observation ili u conclude kwa individual case, ila unaweza kutumia individual cases to derive a general conclusion.

Kaka vipi! umemparamia Susivuri bila sababu, maana hakusema kikwete ataishi miaka 50 amezungumzia wastani wa maisha ya wanaume ambayo ni miaka 50 kwahiyo kumwita JK kijana sio sahihi. Vilevile amehakiki kuwa mtizamo wetu wa umri hauendani na hali halisia ya vijijini, na tanzania kwa ujumla! kwani miaka 50, ushakula chumvi ya kutosha - na maisha yako hapa dunia yanakaribia tamati. Nadhani anachopendekeza tufanye upembuzi wa umri wa raisi kulingania na umri wetu wa maisha tanzania.

I am guessing, if he had a chance he was proposing to discuss Article 39 (1) of the Constitution of the United Republic of Tanzania, 1977, article ii which requires a presidential candidate be 40 years of age to run for the position.

Thought that not a point of this thread!
 
Last edited:
Uzuri ni kwamba hakuna anayekatazwa kuota mchana...endeleeni na ndoto zenu

Kibunango,
Nakubaliana na wewe kuwa pengine tunaota mchana.

Nakubaliana na wewe kabisa kuwa Kikwete atagombea 2010 na labda 2015 ili ajilinde yeye na marafiki zake, ingawa kama angekuwa ndugu yangu ningemshauri aachie ngazi mapema, yaani 2010, ili kuiepusha angalau familia yake na hukumu ya jumuiya.
  1. Akiondoka sasa hivi hatahitaji kuiba tena BOT ili abaki madarakani
  2. Hatahitaji kufyatulia mtu risasi ili abakie madarakani
  3. Hatahitaji kuvunja sheria yoyote ili abakie madarakani
  4. Hatahitajika kuwahukumu hivi sasa au hapo baadaye maBesti wake, Chenge, Lowassa, RA n.k. ili kutimiza masharti ya wafadhili.
Kwa hiyo kwa kuachia ngazi angeweza kukwepa haya yote, lakini nikimnukuu raisi wa zamani wa Zambia, Chiluba, yeye alisema wazi kuwa;

"Hakujua kama kiti cha uraisi ni kitamu hivi".​

Sasa tujiulize kuna viongozi wangapi Africa wasiosafi wanaoachia utamu kiurahisi?
 
- Mkuu vipi tena huu ndio utamaduni wa Upinzani? Ngazi inaachiwa kwenye kupiga kura sasa tusubiri ipigwe kura ndio ango'olewe, mkuu heshimu demokrasia maana huyu rais amechaguliwa na 80% ya sisi wananchi wa Tanzania, sasa tuheshimu japo kidogo na choice yetu ya rais wa jamhuri.

Respect!

FMEs!
 
Kuna msemo unaosema Nyani haoni nyuma kwake.

Mutuambie basi nani bora zaidi leo.
Sidhani kama sasa swala ni nani apendekezwe kuwa Raisi – swala la msingi la sasa ni kujua mahitaji ya Tanzania ni nini na tunahitaji raisi wa aina gani ambaye atatuvusha katika mkanganyiko tulionao. Kwakuwa raisi tunaye aliyechaguliwa kwa asilimi 80% - naheshimu sana kura za wananchi. Lakini ushindi huo unakuja na wajibu, hasa nyakati kama hizi. Nivyema tufikirie huyu raisi afanye nini, maana tunamlipa mshahara kuongoza hii nchi ati! NGuvu kazi ya watu inapungua kwa kukimbia kusoma magazeti, na taarifa za habari, bila mwongozo. Anapaswa kuongoza.

I can never rule out Kikwete hafai, ama atashindwa au kushinda 2010! Both of them, akishinda ama kushidwa it is a problem if he has not sort out the current mess of corruption.

Being honest, for me I might consider Kikwete, if he can show leadership on the currently crisis, because I don’t judge people on how bad they fail, rather how strong they can raise. So, I am assuming currently he is in deep thinking about how to lead this nation, and when he comes out - (which he should do soon) he tells us with no hesitation what his mission on the remaining term – and in his mission indeed he should show how is going to close this mess o corruption.

If I was him, and in one way or another I am involved with corruption weather as an individual, political mission or my party, I will call the crew and said the following, “it is apparently we can no longer run this country for our personal benefits, the citizens are conscious and want me to do something about it. We can only serve our interest if we are saving the interest of nation, of which we have done poorly recently. If the country is in panic model, it is not good for anybody – not for me, not for you.

My position, I want to rule this country for the next term, and here we must agree to put our interest on rest and lets agree on benefit we have accumulated thus far. Dowans equipments cannot be purchased by government - vitataifishwa, court cases of ufisadi will be finalized, and the energy question will be addressed once and for all.
 
......

Nadhani Ili JK afikirie kuacha uraisi

a) Kwanza lazima achague mtu atakayechukua madaraka ya uraisi, anayemwamini na kuahidi atamlinda, hii inamaana upinzani hawatachukua ungozi kwa miaka 10 ijayo.

b) Pili, kuwe na mabadiliko ya agenda katika tanzania, swala la ufisadi liwekwe chini ya kapeti. Na agenda iwe kujenga nchi, na hata vita ya ufisadi vikiendelea, iwe kiini macho tu.

Swala Je taifa liko tayari kufumbia macho ufisadi ili kikwete aichie ngazi? Faida zake ni nini!
.

Petu Hapa: umeweza kunisoma vizuri na umempa maelezo mazuri Burn.

Kuhusu uliloandika hapo juu ni kwamba umegusia mambo mawili muhimu sana, lakini swali ni kwamba je watanzania wanataka nini? mimi nadhani kama hali itaendelea hivi wananchi will smell and want blood, lakini kama kuna hatua atakazojaribu kupiga JK, wananchi wanaweza kuwa tayari kumeza na kufumbia macho makosa yake na utawala wake. Mi naamini kile alichosema mchangiaji moja kuwa kuna haja ya kuwa na Reconciliation council kama ile ya Sauzi au Rwanda. Watu watoke watubu waliiba kidogo, waliiba mabilioni, wapewe adhabu inayolingana au wakatambike kimila whatever, lakini yaishe. The problem sisi bado tunaogopana na ni wanafiki. Itabidi hali igeuke kuwa mbaya sana mpaka tuache kuoneana haya. But it could work na ingekuwa ni kipindi kipya katika nchi yetu.
 
- Mkuu vipi tena huu ndio utamaduni wa Upinzani? Ngazi inaachiwa kwenye kupiga kura sasa tusubiri ipigwe kura ndio ango'olewe, mkuu heshimu demokrasia maana huyu rais amechaguliwa na 80% ya sisi wananchi wa Tanzania, sasa tuheshimu japo kidogo na choice yetu ya rais wa jamhuri.

Respect!

FMEs!

Mkuu FMES, mi si mwanachama wa chama chochote lakini niko katika kundi la wananchi wengi tu ambao ni wasomi n atumechoshwa na CCM. Siamini kama bila pesa za EPA au pesa zigine za wizi wakati wa uchaguzi 2005, CCM ingeweza kushinda kwa 80%. Nadhani hata ukiangalia katika nafsi yako, unajua kuwa sasa hivi CCM haina wanachama ambao genuinely wana sapoti chama na hata among wanachama kuna manunguniko mengi sana.
 
JK kama akifikia maamuzi ya kutogombea hatakuwa mdhaifu. Akiacha kugombea ataacha historia kubwa sana katika uongozi, na kuondoka kwake kutaleta mabadiliko ya msingi sana katika maadili ya uongozi wa Tanzania.

Hayo umesema wewe. Tena ataonekana mdebwedo haswaa! Ni mangapi yanapita mbele yake anashindwa kuyakemea? Nakiri kusema hana cha kujivunia. Angefanya jambo moja tuone then aseme anajiuzulu, hapo angeheshimika.
 
Asie chie ngazi kabisa ,mwacheni aumwe na kichwa ,asipate usingizi ,lakini tunataka amalize ngwe yake ya miaka kumi,mwacheni amalize.

One day Yes tutapata kiongozi ambae atakuwa na ubavu wa kuwahoji hawa Maraisi wanaomaliza miaka kumi ,nini walikifanya na kwa nini hili na lile hawakulisemea wakati walikuwa na uwezo ,ndio maana yake asije mtu akasema mimi nilikuwa nilivalie njuga lakini sikupata miaka ya nyongeza ,ni kujitetea tu japo ni nonesense. Mwacheni Kikwete aendelee na mwengine lakini wakumbuke kama wababe hawatatokea upinzani na kuwaweka kiti moto basi humo humo CCM kutatokea mwenye usongo ambae atatumia hao viongozi waliopita kuwafurahisha wananchi na kujiwekeza zaidi kwa wananchi kuliko kwenye Chama na njia ya kujiwekeza huko ni kuwakamata mafisadi wote na kuwatia adabu ,ni very cheap political tactics to gain imani za wananchi just kwa kuwakamata watajwa wote wa ufisadi naamini ,atatokea kiongozi na kuitumia nafasi hii bila ya huruma na huyo ndie atakae kuwa hana ubia na wengine katika uongozi wake, unafikiri wananchi wakimpata kiongozi wa aina hiyo watakuwaje.Kama sikuona kuwa wamepata mkombozi ,ndio maana yake ,mwacheni amalize miaka yake mitano na mingine mitano ya bonus.

kisasi kibaya mwiba! na kuliona shimo halafu mwenzio aangukie ni uaji!

Naona bado, unaendeleza tamaduni zetu za chama!
 
Petu Hapa: umeweza kunisoma vizuri na umempa maelezo mazuri Burn.

Mi naamini kile alichosema mchangiaji moja kuwa kuna haja ya kuwa na Reconciliation council kama ile ya Sauzi au Rwanda. Watu watoke watubu waliiba kidogo, waliiba mabilioni, wapewe adhabu inayolingana au wakatambike kimila whatever, lakini yaishe.

Kamati za masuluhisho ni ngumu sana! na inahitaji watu wenye mioyo mipana sana! Maana watu wanaweza kusema mavitu huko, wasikilizaji wakashidwa kuvumilia kabisa! Mtu akikwambia, mtu akikiwambia nimeuza mbuga yote ya serengeti unamfanya nini huyo? Lakini inaweza kufanya kazi pale tu ambapo

a) JK mwenyewe atakapoamua kwamba ni wakati wa kufanya hivyo. Ili watu waiheshimu, kikwete inabidi akili kwamba, uchungu na maovu yalitendwa na ufisadi haya wezi kuamuliwa na nguvu za mahakama peke yake. Huu ni wakati wa kukumbuka mila na desturi, wazee wakae chini na wafikie maamuzi kwa manufaa ya taifa - Kesheshe itakuwa wazee gani hao ambao wananchi watawaridhia? Watachanguliwaje na kwa vigezo vipi!

b) Pili la zima Raisi lazima ahakikishiwe usalama na kuendelea kuwa raisi, hata kama atakutwe na ufisadi. Kumbuka South na Rwanda, kamati za masuluhisho hizi kuwahusu maraisi moja kwa moja. Zile zilisababishwa na jamii mbili ambazo zilichukiana na kufanyiana mambo mabaya sana, kwahiyo walichokuwa wanafanya ni kukiri tu. Sisi, huku bado tunatafuta mwizi ni nani! itakuwa ngumu kidogo
 
bm21

Kauli yangu ya kwamba JK ni kijana ndio propaganda iliyotumika mwaka 2005, wazee wapishe vijana waje. Alikuwa kijana kabisa! Leo kama tumezinduka tunasema sio kijana hayo ni maswala mengine. Kwangu naona ni mtu wa makamo ya kati, umri mzuri kabisa wa kuwa raisi kwa mtu yeyote.

Maandamano ya kupinga uamumizi, yatakuwa magumu kama wewe sio mwanachama wa ccm. Kwani mgombe uraisi anachaguliwa na chama chake. Labda nguvu uliyonayo ni katika kupiga kura! Je huwa unapiga kura!

Inawezekana watanzania kuandamana kupinga uamuzi wake wakugombea tena kwa maandamano. Swala la kupiga kula tatizo sipo nchini kama kungekuwa na fursa ya kupiga kura ukiwa ugaibuni ningefurahi sana kutumia haki yangu ya msingi. Ukweli ambao hata wewe unaujua ni kwamba JK anatuyeyusha na hastahiri kugombea tena 2010.
 
Kibunango,
Nakubaliana na wewe kuwa pengine tunaota mchana.

Nakubaliana na wewe kabisa kuwa Kikwete atagombea 2010 na labda 2015 ili ajilinde yeye na marafiki zake, ingawa kama angekuwa ndugu yangu ningemshauri aachie ngazi mapema, yaani 2010, ili kuiepusha angalau familia yake na hukumu ya jumuiya.
  1. Akiondoka sasa hivi hatahitaji kuiba tena BOT ili abaki madarakani
  2. Hatahitaji kufyatulia mtu risasi ili abakie madarakani
  3. Hatahitaji kuvunja sheria yoyote ili abakie madarakani
  4. Hatahitajika kuwahukumu hivi sasa au hapo baadaye maBesti wake, Chenge, Lowassa, RA n.k. ili kutimiza masharti ya wafadhili.
Kwa hiyo kwa kuachia ngazi angeweza kukwepa haya yote, lakini nikimnukuu raisi wa zamani wa Zambia, Chiluba, yeye alisema wazi kuwa;

"Hakujua kama kiti cha uraisi ni kitamu hivi".​

Sasa tujiulize kuna viongozi wangapi Africa wasiosafi wanaoachia utamu kiurahisi?

Mkuu maneno yako nimeyakubali sana kimsingi akiachia sasa atakuwa na nafasi nzuri yakuendeleza ubest na mafisadi but aking'ang'ania ikulu mambo yatakuwa mabaya sana. Akipata ushauri huo mkuu wa kuachia ngazi 2010 itakuwa makini sana.
 
Back
Top Bottom