Endapo itathibitika rais ameudanganya umma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Endapo itathibitika rais ameudanganya umma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mary Chuwa, Mar 1, 2011.

 1. M

  Mary Chuwa Senior Member

  #1
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Katika kupitia habari katika magazeti yenye hotuba ya Kikwete,amesema sasa hivi watu wengi wana hofu juu ya usalama wa nchi yao ambayo ni ngeni Tanzania,yakuwa CDM wana dhamira ya kuvunja amani
  Je ni wananchi gani wenye hofu anaowazungumzia?
  Ni hao wanaomiminika kwa wingi kwenye maandamano na mikutano ya CDM.
  Je ni hatua gani zitachukuliwa dhidi yake ikithibitika ameudanganya umma wa watanzania.
  Naomba kuwasilisha

  MABADILIKO YA KATIBA NI MUHIMU ILI TUWEZE KUWAWAJIBISHA VIONGOZI WEZI NA WAONGO
   
 2. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wenye hofu ni hao mafisadi wenzie!!! Watu wenye hofu hujifungia majumbani mwao wala hawawezi kutoka mitaani kwa wingi kuandamana kama ilivyo sasa. Huyu Mkwere sijui hata utafiti kafanya wapi na lini???
   
 3. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Khofu iliyopo ni pale alipozungumzia juu ya CHADEMA, ya kwamba inachochea amani kutoweka. Nadhani swali lingekuwa hivi...JE NI AMANI IPI ALIYOIMAANISHA MKULU KWA KUVURUGWA NA CHADEMA NA KWAMBA WANANCHI WAJITAHADHARISHE NACHO?
  Ila nategemea kutakuwa na tamko la chadema muda si mrefu juu ya kauli hiyo tete aliyoitoa mh. Rais
   
 4. b

  boybsema Senior Member

  #4
  Mar 1, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hofu ni washkaji zake ambao wanasubiria wang'olewe na people z power!!! haoni wenzao wa misri, Tunisia, Libya walivyo na hofu, mawaziri wengine wanajivisha ngozi ya kondoo kwa kujiuzulu ili wasiwekewe vikwazo kama walivyowekewa wenzao waliokuwa ngangari
  CDM hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 5. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  achana na mkwere,yeye ndiye mwenye hofu kwani hajui atakimbilia wapi rafiki zake wote wako under kiti-moto i.e libya,saudi arabia,misri na ulimwengu wote wa kiarabu.
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  tutatoa majibu mazuri ya maswali haya baada ya mwisho wa siku9...mambo yote ya muhimu yako sawa, subirini mje kushuhudia kiroja cha mwaka.
   
 7. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ...JK, kama mwananchi wa Tanzania pamoja na mafisadi wenzie,,,,ndo alikuwa anarefer aliposema "wananchi wanahofu",,,,actually yeye na wenzie ndo wanahofu,,,,wananchi wako kwenye michakato ya kimaendeleo na kimapinduzi!!!!!
   
 8. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  ana hofu sana hadi kasahau au kaamua kudanganya siku mabomu yalipolipuka sijui kama hakujua ni tarehe 16 na 17 kwa mliosikiza hotuba yake ipo pia you tube mtajua kachemka tarehe.atulie arekebishe hali ya uchumi,awachukulie hatua mafisadi wote,asafishe chama chake,atimize ahadi apandishe mishahara ya wafanyakazi na kuinua pato la mtamnzania la sivo peoples power ikiamua balaaaa.
   
 9. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Mbowe kasema tutaandamana mpaka kieleweke ....
   
Loading...