Wanajamvi ili neno nimekuwa nikiliona WhatsApp pia uwa linanipa jeuri kuwa pengine kuchati, kupiga simu na video call, kwa WhatsApp sio rahisi kuwa traced kama wanavyofanya katika normal text namaanisha service provider kama Vodacom na wengineo mfano umetukanana na mtu kwa normal text akaenda Vodacom akaprint zile text kwa ushahidi labda wa kimahakama. Je, swala hili linawezekana pia katika Jumbe za WhatsApp na mitandao mingine ya kijamii??
Naomba kusalishaa
Cc Chief Mkwawa..
Naomba kusalishaa
Cc Chief Mkwawa..