End Game in Syria.

MZIMU

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
4,056
1,367
NATO ipo katika maandilizi ya Mwisho ya Kuipiga Syria. Upelekwaji wa PATRIOT MISSILES katika Nchi ya Uturuki, ni moja ya maandalizi ya kumaliza kazi Syria. Kwani katika hali ya kawaida, huwezi ku move heavy military equipment za kijeshi bila kusababisha maswali ya juu ya nini? Sas ili kuondoa maswali mengi kwani wewe ni polisi, NATO na Syria wameamua kupeleka vifaa hivyo mpakani mwa Uturuki na Syria ni Dalili tosha kua mambo yameiva, kama walivyo fanya Iraq No fly zone, then full flaged war.

On the ground wapigania Uhuru nao wameendelea kupiga makombora kishenzi.

Syria ipigwe! ipigwe! Syria ipigwe! Ipigwe! Nimekumbuka maneno ya wanajeshi na Raia wa Tanzania walipokua wakienda vitani Uganda, walikua wakiimba hivyo. AAMIN APIGWE! APIGWE! AAMINI APIGWE! APIGWE! Na karibuni hivi mtasikia BANDA APIGWE! APIGWE! BANDA APIGWE! APIGWE!
 
OSOKONI

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
10,971
5,331
wewe mbona unapenda vita sana?unashabikia vita? huonei huruma damu za watoto na wanawake na watu wasio na hatia watakaokufa? then baada ya vita unafaidika nn wewe?
 
MZIMU

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
4,056
1,367
Patriotic ni offensive au defensive?

It does both ways. Na kumbuka haikutengenezwa for defensive purposes. Ili tengenezwa ili kushambulia, lakini Saadamu Hussein R.I.P, alipo anza kupiga makombora ndani ya Riyadh Saudia Arabia na Telaviv Israel, ndio Patriot zilitumika kwa mara ya kwanza ku intersect the scud missiles. Iliifanya hiyo kazi sucessfull, from there inatumika kama defensive, but it is not.
 
nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,780

HAPANA... PATRIOT MISSILES ni kuzuia MABOMU yatakoelekezwa UTURUKI; Sababu SYRIA ilipiga MABOMU MPAKANI UPANDE wa UTURUKI na KUUA watu...

Sasa PATRIOT MISSILES zitasaidia KUZUIA HAYO MABOMU TOKA SYRIA...
 
MZIMU

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
4,056
1,367
wewe mbona unapenda vita sana?unashabikia vita? huonei huruma damu za watoto na wanawake na watu wasio na hatia watakaokufa? then baada ya vita unafaidika nn wewe?

Kwahiyo hao raia wa Syria watoto wanawake na vikongwe wanaopigwa kwa ndege za kijeshi za nchi yao wenyewe unaona ni sawa? Mhhh! freedom of speech!
 
OSOKONI

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
10,971
5,331
Kwahiyo hao raia wa Syria watoto wanawake na vikongwe wanaopigwa kwa ndege za kijeshi za nchi yao wenyewe unaona ni sawa? Mhhh! freedom of speech!

kwa hiyo unalipiza mauaji ya raia kwa mauaji ya raia?wewe vita unaviona kwenye TV tu uliza tuliowahi kuwa frontline kwenye vita mbalimbali ndio utajua utamu wa vita!
 
MZIMU

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
4,056
1,367
kwa hiyo unalipiza mauaji ya raia kwa mauaji ya raia?wewe vita unaviona kwenye tv tu uliza tuliowahi kuwa frontline kwenye vita mbalimbali ndio utajua utamu wa vita!

kaka huwezi kutibu jipu bila kulipasua.
 
Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,872
4,530
Bashar must go just like Gaddafi. Ameishachinja watu wengi ili abakie madarakani. Heri wamfanyizie na vita iishe. Ila wazungu nao wanafiki wa kutupwa. Saudia, Kuwait, Emirates,Morocco, Algeria, Mauritania na kwingineko kwenye ulimwengu unaojiita wa kiarabu hata kama wengine ni wamakonde wanatawaliwa na tawala chafu na zandiki.
 
VUVUZELA

JF-Expert Member
Jun 19, 2010
3,103
783
Shida inakuja ni pale Assad akishaondoka. Yale yale kama Iraq, al Q wata-take over. Ndio maana Obama anaona ni bora Assad kuliko Al Shabiby. Hapo ni pasua kichwa
 
Mwakitobile

JF-Expert Member
Oct 4, 2012
452
119
kwa hiyo unalipiza mauaji ya raia kwa mauaji ya raia?wewe vita unaviona kwenye TV tu uliza tuliowahi kuwa frontline kwenye vita mbalimbali ndio utajua utamu wa vita!

vita mbalimbali zipi wewe? Unataka kusema wewe ni kama Maj.General Wyjones kisamba.Punguza sifa kidogo,koplo osokoni,wakuu wako wa kazi tupo pia humu.
 
Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
15,122
12,485
kwa hiyo unalipiza mauaji ya raia kwa mauaji ya raia?wewe vita unaviona kwenye TV tu uliza tuliowahi kuwa frontline kwenye vita mbalimbali ndio utajua utamu wa vita!

Ikibidi ooohh.... Yes....!!!

These words are too late to be spoken, it is WAR, WAR now.... NO WORDS..... IT'S WAR TIME...!!

WASHINGTON: Information from trusted source says Asaad soon is going to use CHEMICAL WEAPONS AGAINST HIS OWN CITIZENS, Washington said that is RED LINE, meaning if Asaad will even try in minutes using of such deadly chemical weapons WASHINGTON WILL HIT HARDEST ON AIR and GROUND QUICKLY EVEN KILLING ASAAD AND FAMILY....!!!

Is a matter of hours bcoz NATO LONG RANGE MISSILES
ALREADY HEADING TO TURKEY- SYRIAN BOARDER.....!!!
they named it PATRIOTIC just to lie the world of which will be so much OFFENSIVE soon and not DEFENSIVE

Asaad must goo.....!!!!
it's too late to compromise with him.....!!!!!
 
Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,376
3,619
wewe mbona unapenda vita sana?unashabikia vita? huonei huruma damu za watoto na wanawake na watu wasio na hatia watakaokufa? then baada ya vita unafaidika nn wewe?[ kwa hali iliyopo sasa hv ni heri assad akangolewa kwa nguvu kwa maana weng wamekufa chini ya utawala wa baba yake na yeye tatizo ni urusi na china.
 
MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,781
4,041
Always the "West" has to come and rescue these kind of people. Where are the followers of that cacoferocious demigod?
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
38,723
30,622
It does both ways. Na kumbuka haikutengenezwa for defensive purposes. Ili tengenezwa ili kushambulia, lakini Saadamu Hussein R.I.P, alipo anza kupiga makombora ndani ya Riyadh Saudia Arabia na Telaviv Israel, ndio Patriot zilitumika kwa mara ya kwanza ku intersect the scud missiles. Iliifanya hiyo kazi sucessfull, from there inatumika kama defensive, but it is not.

patriot like the one about to be deployed in turkey is a short range anti missile system for combarting any missile attack from syria.
It is a defence in nature.
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
38,723
30,622
Ikibidi ooohh.... Yes....!!!

These words are too late to be spoken, it is WAR, WAR now.... NO WORDS..... IT'S WAR TIME...!!

WASHINGTON: Information from trusted source says Asaad soon is going to use CHEMICAL WEAPONS AGAINST HIS OWN CITIZENS, Washington said that is RED LINE, meaning if Asaad will even try in minutes using of such deadly chemical weapons WASHINGTON WILL HIT HARDEST ON AIR and GROUND QUICKLY EVEN KILLING ASAAD AND FAMILY....!!!

Is a matter of hours bcoz NATO LONG RANGE MISSILES
ALREADY HEADING TO TURKEY- SYRIAN BOARDER.....!!!
they named it PATRIOTIC just to lie the world of which will be so much OFFENSIVE soon and not DEFENSIVE

Asaad must goo.....!!!!
it's too late to compromise with him.....!!!!!

syria has S.400 INTERSPTOR,this air defence system is more superior than Partriot advanced capability(PAC-3).
It has an advanced seeker head capable of seeking target well beyond the horizon line.it had range up to400 km,giving it approxmately 2.5 times the range of S-300 AND twice the range of US PATRIOT ADVANCED CAPABILITY-3(PAC-3)thus making it the superior air defence missile .
The S.400,is able to home in on a short and medium range ballistic missile as well as reconnaissance aircraft,stealthbomber and highly flying fast moving target.it can intercept target with velocities of up to 4.8 km/sec.
That system is what brought down the turkey warplane.US would need to take that out first before they try anything and to do it they need those rebel to destroy it.cause they cant disable it by ther warplane.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

2 Reactions
Reply
Top Bottom