EMS ni Huduma ya Posta pia Ambayo yenyewe huwa ina malipo makubwa ukilinganisha na huduma nyingine ya kawaida
Hhuduma ya kawaida barua inaweza kutumia hadi miezi miwili lakini EMS Kwa sehemu ambazo zina Viwanja vya Ndege barua hufika haraka na hata sehemu ambayo haina usafiri wa Ndege EMS husafirisha barua/vifurushi hivyo kwa haraka zaidi
Ila ukitumia njia ya Kawaida ya kulipia sh.500 barua yako ya maombi ya kazi inaweza kufika wakati wenzio wameshaanza kazi.
EMS ndo njia ya uhakika na ya haraka zaidi. Lakini, kama kwenye tangazo waliandika kuwa hand delivery is not accepted,then barua yako haitakubaliwa kwa sababu unapotuma kwa EMS barua hufikishwa kwa mkono pia(hand delivery).Hata mimi huwa ninapata utata kuhusu suala hili. Maana maombi yangu ya kazi huwa hayajibiwi na huwa natuma kwa EMS.
ninavofahamu EMS-express mail service, ni njia yenye gharama kidogo na iko faster,unaweza ukatuma leo baada ya siku moja ikawa imefika, ila kwa kutuma kwa njia ya kawaida ya stamp za 1200 sijajua barua inachukua muda gani kufaka, labda kwa anaefahamu atujuze,
Njia ya Register nayo inaweza kuchukua muda gan mkuu?
ninavofahamu EMS-express mail service, ni njia yenye gharama kidogo na iko faster,unaweza ukatuma leo baada ya siku moja ikawa imefika, ila kwa kutuma kwa njia ya kawaida ya stamp za 1200 sijajua barua inachukua muda gani kufaka, labda kwa anaefahamu atujuze,
Ok,nimekupatakwa barua ya EMS ndani ya nchi ya Tanzania yenye uzito wa awali (gm 500) ni tshs 11,100 bila VAT (18%). with VAT ni tshs 13,098 approx 13,100/=.
barua ya kawaida uzito wa awali ni shs 600/economy na priority ni shs 1000/=.
Ukituma barua kutoka hapa Iringa hadi dsm inafika the next day(one day). Uzuri wa EMS mtumiwa anapelekewa na atasaini kukiri mapokezi. Hii inamsaidia mteja mtumaji kuwa na uhakika 100% wa barua yake au application yake kupokelewa.
Barua ya kawaida ni cheap sana lakini huna wa kumuuliza. hata ikipotea huna pa kuanzia. watatupiana mpira kati ya Posta na uliyemtumia. Na kwa vijana wa siku hizi na miandiko yao ya swagga ni rahisi barua ya kawaida kukosewa box. Mfano: box 23 dsm ukikosea ukaandika box 32 hiyo inaingizwa box 32 badala ya 23.
suluhisho ni shirika la posta kuboresha mfumo wa Postcodes kama wenzetu zambia, kenya South africa.
EMS ni Sh.15000 sasa hiviNdugu nimetuma Barua Mda Mrefu lakini EMS bei yake nahisi ni Tshs. 10,400/= Urahisi uko wapi?
weweeeee EMS na barua za kawaida zinaondoka kwa usafiri mmoja,isipokuwa EMS wanafikisha barua hadi ofisini ila njia ya kawaida wanaweka barua ktk sanduku la ofisi husika mpaka wenyewe kutoka ofisin waifate,neno express linamaanisha kama barua inatoka mbeya kwenda dar,zikipokelewa zote zile za EMS zinasambazwa maofisini siku hyohyo hata kwa pikipik,then za kawaida zinapelekwa ktk masanduku husikaEms ni njia y uhakika, ya haraka na salama,
Kwa malipo ya shilingi elf 15 utapewa risiti ya uthibitisho wa malipo na tracking number itayokuwezesha kujua barua yako imefika wapi, barua za kawaida huzina tracking number
Ni njia ya haraka sana, kwa Mimi ambae nipo mbeya gari la ems linaondokaga na barua za ems saa tano asubuhi na linafikisha barua dar es salaam siku hiyo hiyo, kwa barua za kawaida zinaweza kuchukua mwezi au zaidi
Barua inapofika tu itapelekwa kwenye ofisi husika uliyoiandikia barua kwa njia ya pikipiki za ems, ni tofauti ni barua za kawaida inabidi ofisi uliyoandikia barua ikafuate barua posta
Ni hayo tu, kupata kazi inabidi ujitume kwenye utafutaji na uombaji, Ems ni Huduma effective
Ni kweli kabisa ulichokisema, ila huyo jamaa alitaka kuwalisha watu matango poriweweeeee EMS na barua za kawaida zinaondoka kwa usafiri mmoja,isipokuwa EMS wanafikisha barua hadi ofisini ila njia ya kawaida wanaweka barua ktk sanduku la ofisi husika mpaka wenyewe kutoka ofisin waifate,neno express linamaanisha kama barua inatoka mbeya kwenda dar,zikipokelewa zote zile za EMS zinasambazwa maofisini siku hyohyo hata kwa pikipik,then za kawaida zinapelekwa ktk masanduku husika
Trueweweeeee EMS na barua za kawaida zinaondoka kwa usafiri mmoja,isipokuwa EMS wanafikisha barua hadi ofisini ila njia ya kawaida wanaweka barua ktk sanduku la ofisi husika mpaka wenyewe kutoka ofisin waifate,neno express linamaanisha kama barua inatoka mbeya kwenda dar,zikipokelewa zote zile za EMS zinasambazwa maofisini siku hyohyo hata kwa pikipik,then za kawaida zinapelekwa ktk masanduku husika