Empower interview-shortlisted

Empower interview-shortlisted

BML

Member
Joined
Jan 10, 2015
Posts
7
Reaction score
0
Nimeitwa na hawa watu japo. natakiwa kulipa 10,000Tsh, kama Registration fee kwenye interview. Tafadhali ndugu aliye na ufahamu kuhuhusu hii company anisaidie kunifahamisha ili nijue nipate uamzi sahihi wa kutoa hiyo ada au LA!
 
Harufu ya utapeli, yani unalipia interview je ukifeli!?? Nauliza tuu
 
nilishafanya interview na empower june 2014,, then nikapelekwa kwa client wao kampuni ya plumbering plasco, nafasi ilikuwa warehouse manager..sikuchajiwa hata senti tano, na nilipata msaada mkubwa sana kutoka kwa mdada wa empower anaitwa priscilla, sema tu tulishindana mshahara s budget ya position aliyokuwa nayo client ni ndogo kuliko niliyoiomba..na hata wakati wa interview nilipewa fuel allowance kwa usumbufu wa nenda rudi as interview zilikuwa siku kama tano hivi tofauti..Japokuwa tulishindwana kuhusu terms of contract but niliwaheshimu sana empower kwa proffessionalism walioionesha na hata client wao plasco tanzania limited, nao walionesha proffessionalism ya hali ya juuu..hakukuwa na rushwa wala longo longo yoyote
 
Nashukuru sana Shauri Mbaya. Ngoja niende kesho nikanufaike na hzo service.
 
Empower wazuri sana tena , mimi niliitwa interview zao kibao iwapo tulikua tunashindwana Mshahara.Mpaka nilipopata kazi huku ughaibuni waliniita Mbeya Cement nikawambia asante sana ,but sitaweza kuja
Wako vizuri wamejipanga sana hawa,na ni ladies but wako serious mno
 
Hilo ni chaka... Ukishaona unaomba kazi then unaambiwa uchangie .. Hapo ujue hakuna kazi hapo.. Hao ni wajadiriamali tu
 
Hilo ni chaka... Ukishaona unaomba kazi then unaambiwa uchangie .. Hapo ujue hakuna kazi hapo.. Hao ni wajadiriamali tu
Hapana wangu... cha kujiuliza hapa ni haya mambo wameanza lini lakini Empower ni one of the best recruitment agency Tanzania unless kama kuna Empower wengine tofauti na hawa tunaowajua.
 
Back
Top Bottom