employment problem solved.

Wisdom will kill this old man View attachment 972836
Kweli kabisa hawa wakubwa wanafiki 100%Unajiajirije bila mtaji?
Unaenda bank unapeleka proposal hata ya milioni mbili unaulizwa una mtaji wa shilingi ngapi?Eti unauza shilingi ngapi kwa siku, eti stock yako ni km shilingi ngapi?BADO unaambiwa lete dhamana ya nyumba,kiwanja au gari hivi ulivipata wapi na ndo una 23yrs?
Full ushenzi,wakati maviongozi wako madarakani zaidi ya miaka 30,wamejirundikia pesa zingine mpk wameficha mabenki ya nje na bado hawataki kustaafu ili wazungushe hizo pesa zao kwenye biashara kubwa kubwa km hospitals,viwanda nk
Halafu huyo huyo anamwambia kijana mdogo alietoka chuo leo bila mtaji eti ajiajiri!!!!!SELFISH ni mbaya sana
 
Brother nimetembea more than 10 banks na wazo langu kuntu jamaa wanasema una wazo zuri ila hatuna utaratibu wa kuwakopesha startup all ni all nimebaki na bet ili ni rise fund niwekeze kwenye wazo langu. Juzi nimemsikia mama mmoja Ud anasema hii michezo ya ku bet ipigwe marufuku[emoji28][emoji28] anataka vijana wafe
 

Maskini nchi yangu Tanzania ndo maana vijana wanaamua kujaribu kufanya biashara na kazi hatarishi km Uchangudoa,ushoga,mihadarati,ujangiri,ukuwadi,ushirikina,ujambazi nk ili angalau wapate/tupate kianzio.
Bado unabahatisha kamtaji toka unakojua wewe ukitaka kufungua biashara au kujiajiri mara figisu zinaanza;
TRA wanakutaka
JIJI Wanakutaka
TFDA wanakutaka
FIRE Wanakuralua
TBS wanakutaka
BADO Kodi ya chumba/eneo inakusubiri
Ulinzi,umeme,maji,choo,chakula,usafiri ,usafi vinakusubiri
BADO changamoto ya wateja
ETI NDO UTOBOE?????KAKUDANGANYA NANI MPENDWA?
TBS
 
Wakati mwingine huyu mzee alikuwa ni kichwa
Kama ni kichwa hebu tuambie yeye alistaafu (kwa hiyari) baada ya kuitumikia serikali kwa miaka mingapi? Did he practice what he preach? Mwambie aache ufala! Yeye amengangania nchi miaka arobaini na bado akaiacha ikiwa hoi bin taaban leo awe mshauri kichwa?
 
Hahahaha viongozi wa kiafrika wakiwa na madaraka kama umesoma kitabu cha rich dad na poor dad utaelewa nacho maanisha
 
Wapumbavu hujadili watu na waelevu hujadili issues, hapo ulipoanza kumjadili mugabe badala ya alichosema inathibitisha wewe ni mpumbavu wa kiwango cha lami
 
Wapumbavu hujadili watu na waelevu hujadili issues, hapo ulipoanza kumjadili mugabe badala ya alichosema inathibitisha wewe ni mpumbavu wa kiwango cha lami
Mimi nili m quote aliyesema "Huyu mzee ni kichwa" labda angeandika "Haya maneno ni ya hekima" nisingefanya personal attack kwa mtu! Yeye ameandika "HUYU mzee" that's individual case dude!! Bow down a bit!!
 
Akili za kina kigwangala za kusahau walikotoka,shenzi sana
 
Hata kama yeye hakufanya hivyo lkn man has a point... ahaha au unaogopa kustaafu mkuu
 
Wapumbavu hujadili watu na waelevu hujadili issues, hapo ulipoanza kumjadili mugabe badala ya alichosema inathibitisha wewe ni mpumbavu wa kiwango cha lami
Hili wazo limemgusa mkuu... Pay check za kila mwezi tamu ujue..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…