Employment Opprotunity, TRA; Deadline 20/10/2015

Employment Opprotunity, TRA; Deadline 20/10/2015

Category nyingine pale hazina skills , mfano computer ina skills yake kama microsoft application, communications na accounting hazina na ukizichagua kusave zinagoma hadi uweke skills zake,unafanyaje pale?

Click pale palipoandikwa "Other Skills Not in List"
 
Kama una lower afu una postgraduate unaruhusiwa pia

nimesoma vizuri ila sijaona kipengele cha GPA kila post ina qualifications zake mm nimeangalia post y procurement wameonyesha ni degree pia uwe registered n psptb na hakuna general qualification
 
Kama una lower afu una postgraduate unaruhusiwa pia

sijaona aisee naomba unielekeze, najua kwenye ile form kunakipengele unajaza GPA ila hawaspecify kama ni upper, kweye qualifications z post walizotoa pia sijaona
 
sijaona aisee naomba unielekeze, najua kwenye ile form kunakipengele unajaza GPA ila hawaspecify kama ni upper, kweye qualifications z post walizotoa pia sijaona

Soma vizuri basic requirements za wanaohitajika kuapply siyo kwenye form unayojaza ya job application au fungua kila post upate maelezo yake
 
Soma vizuri basic requirements za wanaohitajika kuapply siyo kwenye form unayojaza ya job application au fungua kila post upate maelezo yake

nimefungua post y senior procurement sijaona mkuu kama utaweza kucopy hicho kipengele utakuwa umenisaidia sana
 
nimefungua post y senior procurement sijaona mkuu kama utaweza kucopy hicho kipengele utakuwa umenisaidia sana

Huko kwenye senior procurement sija angalia nimepitia hizo posts za kawaida (ass. Tax, ass. customs & Preventive officers)
 
Ngoja kwanza watoto wa vigogo wa-apply kwanza ili ikija kufunguka sisi watoto wa wakulima tuwe tumechelewa. Wao walishataarifiwa waka apply kabla

Yaaani wewe ni mlalamishiiiiii😆
 
Nmeona hawa jamaa wame-extend hadi tarehe 22 let's keep on applying guyz...u never knw
 
Wadau mbona mie kila nikijaribu kuomba kazi hapo inaniletea huu ujumbe, au TRA hawataki huu mwaka na mie lazima nipate
 
Attachments

  • 1445285200915.jpg
    1445285200915.jpg
    50.4 KB · Views: 287
mbona sehemu ya qualification attachment haionekani tena?
 
Mkuu ukiingiza hiyo namba click retrieve reference number then ukitumiwa email ndo u log in
Wadau mbona mie kila nikijaribu kuomba kazi hapo inaniletea huu ujumbe, au TRA hawataki huu mwaka na mie lazima nipate
 
Back
Top Bottom