Employment in Abu Dhabi UAE

Employment in Abu Dhabi UAE

Wadau kwa michango yenu nawashukuru sana. nimejaribu kuchek google sikupata hiyo company. hata website hawana.
nimeamua kuachana nao. naishukuru sana JF maana imeniokoa kabla sijaingizwa chaka nikaenda kuuzwa huku familia yangu ikibaki inahangaika wasijue pa kunipata
 
  • Thanks
Reactions: HMS
Back
Top Bottom