Employment in Abu Dhabi UAE

Employment in Abu Dhabi UAE

Bitabo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
1,900
Reaction score
689
Wadau
niliomba kazi kwenye mtandao na nimewapata hawa jamaa na wamehitaji haya yaliyoandikwa chini.
kwa mwenye uzoefu na mambo ya kazi huko Uarabuni naomba msaada kujua kama hawa jamaa ni wa kweli au ni vishoka kabla sijapiga hatua zaidi.

These are the list of documents that will be sent to your postal address via courier service after approval. 1. Entry Cable Visa Working Permit Visa 2. Air ticket 3. Original copy of your Signed letter of appointment 4. Marget Construction & Mining Company (FOR EASY IDENTIFICATION ON ARRIVAL IN UAE) 5. Working And Resident Permits

Listed below are the required documents needed from you before we can commence with the processing of your traveling documents. 1 ) Complete filled Visa Application Form 2) An address reachable by courier services 3) Data page of Intl passport (copy bearing applicant face.) 4) Passport Picture 5) Courier And Documents Insurance Registration $520USD TOTAL AMOUNT $520 USD

Your documents will be couriered to your address via express courier service after the approval, all documents will be ready within 72 hours.

Yours in service,

Marget Construction Company Recruiting Manager: Address: 28Th Floor, Bin Ghanem Office Tower, Abu Dhabi
 
Una hamu ya kuibiwa mpendwa. Usijaribu hata kutuma TZS 5, kwani hao ni wezi wa mtandaoni.
 
Namna rahisi tu ya kuwaumbua hawa wanijeria

-Angalia e-mail address ya mtumaji mara nyingi wanajichanganya wanakuwa na free accounts "yahoo" "gmail" n.k haiwezekani kampuni tena mara nyingi wao watakuambia ni "kampuni kubwa" itumie account ya "gmail" au "yahoo" au nyinginezo unazozifahamu amabazo mimi na wewe tunazitumia

-Nenda google tafuta "UAE YELLOW PAGES" halafu uangalie hiyo kampuni kama ipo.

- Hakuna kampuni inayoajiri na kutaka pesa kutoka kwa muajiriwa mtarajiwa

Hao ni matapeli ndugu yangu usijaribu kutuma hata mia. Peruzi mtandanoni utakutana na kesi nyingi za watu waliotapeliwa na hao jamaa.
 
Kabla hujafanya uamuzi wowote hakikisha umejiridhisha vya kutosha ,..kuna Dogo alipata kazi ya upishi Uarabuni ,walicho mfanya hao waarabu Mungu mwenyewe atawahukumu
 
Wadau
niliomba kazi kwenye mtandao na nimewapata hawa jamaa na wamehitaji haya yaliyoandikwa chini.
kwa mwenye uzoefu na mambo ya kazi huko Uarabuni naomba msaada kujua kama hawa jamaa ni wa kweli au ni vishoka kabla sijapiga hatua zaidi.

These are the list of documents that will be sent to your postal address via courier service after approval. 1. Entry Cable Visa Working Permit Visa 2. Air ticket 3. Original copy of your Signed letter of appointment 4. Marget Construction & Mining Company (FOR EASY IDENTIFICATION ON ARRIVAL IN UAE) 5. Working And Resident Permits

Listed below are the required documents needed from you before we can commence with the processing of your traveling documents. 1 ) Complete filled Visa Application Form 2) An address reachable by courier services 3) Data page of Intl passport (copy bearing applicant face.) 4) Passport Picture 5) Courier And Documents Insurance Registration $520USD TOTAL AMOUNT $520 USD

Your documents will be couriered to your address via express courier service after the approval, all documents will be ready within 72 hours.

Yours in service,

Marget Construction Company Recruiting Manager: Address: 28Th Floor, Bin Ghanem Office Tower, Abu Dhabi

Kama wanasema ulipe no fraud
 
Hata kama ni kazi ya ukweli ina maana hausikii yanayowakuta wafanyakazi huko uarabuni?
 
Kabla hujafanya uamuzi wowote hakikisha umejiridhisha vya kutosha ,..kuna Dogo alipata kazi ya upishi Uarabuni ,walicho mfanya hao waarabu Mungu mwenyewe atawahukumu

Acha kudiscourage watu mkuu, ajiridhishe nini sasa, huko kuna expatriates zaidi ya milioni 10 kutoka nchi 200 duniani, kuna waKenya zaidi ya 80,000 huko katika kila nyanja wanakamata pesa nzuri tu, huyo mpishi wako alifanywa nini ? kama hana vigezo unamlaumu nani ? Kalaghabaho yako..
 
Hao matapeli wala usijaribu, bila shaka ni watu wa western Africa wanajulikana sana hao
 
Wadau
niliomba kazi kwenye mtandao na nimewapata hawa jamaa na wamehitaji haya yaliyoandikwa chini.
kwa mwenye uzoefu na mambo ya kazi huko Uarabuni naomba msaada kujua kama hawa jamaa ni wa kweli au ni vishoka kabla sijapiga hatua zaidi.

These are the list of documents that will be sent to your postal address via courier service after approval. 1. Entry Cable Visa Working Permit Visa 2. Air ticket 3. Original copy of your Signed letter of appointment 4. Marget Construction & Mining Company (FOR EASY IDENTIFICATION ON ARRIVAL IN UAE) 5. Working And Resident Permits

Listed below are the required documents needed from you before we can commence with the processing of your traveling documents. 1 ) Complete filled Visa Application Form 2) An address reachable by courier services 3) Data page of Intl passport (copy bearing applicant face.) 4) Passport Picture 5) Courier And Documents Insurance Registration $520USD TOTAL AMOUNT $520 USD

Your documents will be couriered to your address via express courier service after the approval, all documents will be ready within 72 hours.

Yours in service,

Marget Construction Company Recruiting Manager: Address: 28Th Floor, Bin Ghanem Office Tower, Abu Dhabi

Yaani mpaka uambiwe ni nigerian scam....hakuna ajira ya kulipia duniani.
 
Kabla hujafanya uamuzi wowote hakikisha umejiridhisha vya kutosha ,..kuna Dogo alipata kazi ya upishi Uarabuni ,walicho mfanya hao waarabu Mungu mwenyewe atawahukumu

walimfanyaje huyo mpishi???? funguka mkuu hii ndo jf, where we dare to talk openly.
 
Bora uibiwe kuliko kufika huko ukakuta hamna cha kampuni wala ajira ni human traficking kwenda mbele! Utanyanganywa passport na kila kitu uanze kufanywa mtumwa wa ngono 😁😁😁😔
 
Ukishaona mwajiri anaetaka malipo yoyote kaa mbali ni matapeli.usijaribu kutuma hela wala kupoteza muda.simply n obvious hao ni matapeli.kama utapenda kujiridhisha zaidi basi fika ubalozi wao hapa nchini japo najua utapoteza muda bure.unaweza pia kuwatambua kwa kuangalia sender email adress km mchangiaji mmoja alivosema huwa matapeli hao wanatumia free email domain kama yahoo, gmail, hotmail , ymail n.k.
Uwe makini
 
Yaani mpaka uambiwe ni nigerian scam....hakuna ajira ya kulipia duniani.
Hata mimi nashangaa sana, hivi tangu lini mwajiri akadia alipwe fedha in advance - hivi ndugu yangu huyo kwa nini hakutambua kwamba hiyo ni SCAM ya jamaa wa Africa magharibi specifically Nigerians.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom