Watu wengi wanafikiri ndege na wanyama hawana hisia. Angalia picha, ndege jike alikuwa amjeruhiwa vibaya na gari na kulala chini kwenye barabara..
Angalia, ndege dume akawa anampelekea chakula kwa upendo na huruma.
Angalia, baadaye akamletea chakula tena lakini alishtushwa kuona amekufa. Hakuamini akajaribu kumvuta, lakini alikuwa amekufa..Akalia kwa uchungu na mapendo..Na akasimama pembeni mwa mwili wa mpenzie asijue afanye nini kwani pendo lake limeondoka...
Mapenzi hayachagui…fuatilia kwa picha hapo chini..
Ni kweli kabisa....ila hisia za mimea na wanyama wengineo sio za kufeki kama za binadamu........nahisi hiyo specie ya ndege ni moja ya wale wanao pare for life....yaani no cheating mpaka kifo kiwatenganishe.......na hata ikitokea mmoja akifa huyo mwingine atakua single mpaka afe...hawezi kupata demu mwingine.....its very touching....