Emotional abuse

Emotional abuse

Unaona ehhh...Wengi mno ni wahanga wa hii kitu,Finding the solution of a problem is finding the source/origin of the problem....Narefer kwenye uzi wa "Good communication is the key to a successful conversation/relationship!!

ni kweli communication ndo everything aaah but kuna muda hata kuwa kimya tu ndo best solution
 
Exactly emotion abuse do harm than physical abuse,some might be doing while knowing or without knowing that they are hurting someone.....

And it has a urge impact on someone's life it might completely transform a good person to a bad person or a bad person to a good person.....

NB: whatever we say or do has an impact on someones life....

It is not right to say, every physical abuse has element of emotional abuse in it?
 
Sawa mkuu....mifano basi kama hutomaind!!Na nakubali inaweza kuapply kote kwa wake na waume!!
ukiwa na uelewa mpana wa The Boss utaelewa anamaanisha nini kwa kuangalia sexual relationship aspect i.e dating ,the way women act just like spies take advantage ya kukufahamu ,you know what mwanzo wa mahusiano women are so smart to know her man ,then kinachofuata (because of knowing him) ni majangas ,Women are pretty smart using IRONY inorder to extract information that can be be used against the man (abusing the man)
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi wanawake wengi ni abusers huku wakijifanya 'victims'

Ndo maana kuna usemi 'women are like FBI anything you say to her can and will be used against you in the future'
100% sure tena hawa wa kiswahili ndo kabisaa
 
ukiwa na uelewa mpana wa The Boss utaelewa anamaanisha nini kwa kuangalia sexual relationship aspect i.e dating ,the way women act just like spies take advantage ya kukufahamu ,you know what mwanzo wa mahusiano women are so smart to know her man ,then kinachofuata (because of knowing him) ni majangas ,Women are pretty smart using IRONY inorder to extract information that can be be used against the man (abusing the man)

Ahsante kwa kufafanua kwa upana zaidi!!Ni kweli baadhi ya wanawake wako very manipulative na abusers wazuri tu!
 
Last edited by a moderator:
The Boss;
Actually they are good at manipulating others and playing a victim
I met a friend, anakwambia kaoa malkia wa mateso duniani, and she smiles when hurting him :heh::heh:

Manipulation na visasi na ku play victim ndio almost like sifa za modern women za siku hizi
huyo rafiki yako bado hajaona mateso
uliza wazee walio staafu na kufulia huku wake zao 'wakiwashika masikio' watoto

unakuta watoto wanamsaidia mama yao tu huku baba yao hawataki hata kusikia...
 
Mimi naamini kabisa, 100% kwamba silaha muhimu ya mwanaume kuheshimika ni kutofilisika!!
 
Unapuuza ila mwishoni unachoka moyo nao una sehem mengine unashindwa kubeba....

Ila labda kusamehe tu mana kuna msemo unasema: forgive others not because they deserve forgiveness but because you deserve peace...

Nakusoma sana farkhina, kuna mtu nayemfahamu yupo hivi. Kuna siku nilimchana laivu nikamwambia and who the hell do u think u r kuniambia what ro say and when to say it kila saa. Do u think mimi im in ur head nifanye unavyofikiria wewe all the time. And what makes u think wewe u r right tuuu always... na wewe ujue nachukia ukifanya hivi and hivi and hivi. Na nikawa namshusha confidence kila saa. Kiufupi mtu wa hivi ni ngumu kudumu nae kama una roho ndogo maana ni vita lila saa vinginevyo atakufanya uanze kuji doubt na atakushusha confidence[/QUOTE]

kwa nini dumu na..?
 
Manipulation na visasi na ku play victim ndio almost like sifa za modern women za siku hizi
huyo rafiki yako bado hajaona mateso
uliza wazee walio staafu na kufulia huku wake zao 'wakiwashika masikio' watoto

unakuta watoto wanamsaidia mama yao tu huku baba yao hawataki hata kusikia...

Ukiona hivyo baba hakuwa karibu na watoto wake . Wanaume wengi wakati wa ujana wao huwa wanaspebd muda mwingi na vinada au marafiki nyymbani anaonekana usiku tu kama mende then unategemea ukistaafu famikia yako ikutreat kama King! Wanakuona stranger tu kwenye maisha yao ndio maana wako karibu na mama yao watoto! Sisi baba yetu alijua hili kitambo sana na leo hii ni mzee sana lakini anapendwa mpk na vitukuu akikohoa tu watoto, mke mpk wajukuu tunakimbizana kuntunza yote hii ni kwa sababu alisacrifice raha za ujana kwa ajili ya mke na sisi watoto.
So ukiona mwanaume anateseka uzeeni jua ni yeye mwenyeww anavuna alichopanda
 
umeangalia hoja kwa upande mmoja sana

sometimes wazazi wengine ni wasafiri na sio wa kuwa na marafiki au vimada.... and the love is still there, na kuna wazazi wanashinda nyumbani, lakini na magazeti, TV na novel... the gap will alwasy be there

Its all about how fathers communicate with their wives, children and relatives when at home... mimi natumia muda kiasi na watotok, lakini wanangu wanakua easy kuongea na mimi kutokana na ile approach yangu kwao... i spare time kwa kil MMOJa kwa wakati wake na pia wote pamoja, they open up to many things ambazo hawamwambii mama yao kwasababu wanamuona mkali sana

but all in all, kwasababu ya nature ya mahusiano yetu, a man with money and position earns more respect at home kuliko a man with less income compared to his wife

siri ya mafanikio ni kukamilisha neno la maandiko, kwamba baba atafute ili kulinda familia

we are made to be bread earners
 
Nakusoma sana farkhina, kuna mtu nayemfahamu yupo hivi. Kuna siku nilimchana laivu nikamwambia and who the hell do u think u r kuniambia what ro say and when to say it kila saa. Do u think mimi im in ur head nifanye unavyofikiria wewe all the time. And what makes u think wewe u r right tuuu always... na wewe ujue nachukia ukifanya hivi and hivi and hivi. Na nikawa namshusha confidence kila saa. Kiufupi mtu wa hivi ni ngumu kudumu nae kama una roho ndogo maana ni vita lila saa vinginevyo atakufanya uanze kuji doubt na atakushusha confidence

kwa nini dumu na..?[/QUOTE]

Coz when you are with someone you should care for them for better and for worse!Kuna vitu tofauti vinavyoweza kusababisha mtu kuend up na emotional abuser kama kutokujua kama mtu ana hulka hizo kwasababu alificha makucha yake mwanzo na hali hio kutokea tayari ukiwa ndoani,au umepitia emotional abuse aidha as a victim or as an abuser urself so unajua madhara yake!When you are with someone you care for you dont run away coz he/she has problem but instead you care for them,nature them and help them through it "Kuna usemi usemao YOU WILL NEVER WALK ALONE!!somewhere out there,there will always be a person who will be there!!
 
Hii mara nyingi nimeiona kwa watu wanaoforce/kung'ang'ania mapenzi kwa watu wasiowapenda kimapenzi.
 
Hii mara nyingi nimeiona kwa watu wanaoforce/kung'ang'ania mapenzi kwa watu wasiowapenda kimapenzi.

Si lazima iwe kwa wapenzi inaweza kuwa kwa kutoka kwa wazazi kwa mtoto,marafiki n.k
 
Back
Top Bottom