Mkuu kuwa makini kabla hujapost kitu chochote hapa, kwa kupost hii thread utakuwa umemchafua na kumdhalilisha sana huyu dada iwopo unachosema hakina ukwel, na kama kina ukwel kwanini usikidhibitishe au kwenda mahakaman? Nadhan JF waangalie jinsi ya kucontrol hil jukwaa, KILA UHURU UNA MIPAKA YAKE, haukua na haja ya kutaja jina lake kwa fikira za kusadikika.