Heh! waziri wa mambo ya ndani amelitangazia taifa kuwa Zanzibar kuna magaidi na kwamba wanafanya mpango wa kupata msaada wa kiitelijensia toka nchi zilizoendelea kuwapata magaidi hao waliomuua mtumishi wa Bwana Padre Mushi (RIP) leo asubuhi.
Hii tabia ya mawaziri wa JK ya kukurupuka inalitia aibu taifa. Ni afadhali kama angekaa kimya. Ni vizuri angetambua kuwa haongei na wazee wa Dar es salaam, wale wanaopewa nguo za kijani bure..
Emmanuel, huhitaji hata askari wa cheo cha Inspector wa Tanzania kuwakamata waliomuua padre. Wafadhili wa wauaji mnawafahamu vizuri sana. Hamkutaka tu kusghukikia swala hili kuanzia mwaka jana alipopigwa risasi padre wa kwanza. Wauaji wanweza kukamatwa na hata polisi jamii bwana Nchimbi. Wanafahamika sana. Sasa kajipange upya uje na filamu nyingine.
Hatuhitaji wauaji, hao ni vijana tu waliokosa ajira katika serikali hii ya kikwete, na sasa wanatumika vibaya. Ungetueleza nani alikamatwa tukio la kwanza, nani anafadhili udhalimu huo na hatua gani kama serikali mlichukua baada ya hapo kukomesha tabia hiyo.
Wimbo wako hauuziki.
Wacha kusingizia vijana waliokosa ajira bana.... Kwani tatizo la kukosa ajira limeanza leo?? Vipi kwa nchi nyingine huwa wakikosa ajira wanaanzisha migogoro ya kuchinja na kuwaua makasisi?? Think out of the box dude....

Kuna dini huwa nakizitafakari nachokaaaaaaaaa! MUNGU wangu mwema kunifanya nizaliwe mkristu, nitakufa mkristu najivunia hilo! Jamani hakuna pepo ukiua mtu, kuua ni dhambi, hata mtoto aliyezaliwa leo analitambua hilo, acheni ushetani, tuishi kwa upendo!
mimi npio z'bar, kweli tunahitaji maombi yenu huku ni pagumu, tunaishi kwa shida na kwamanyanyaso sana watu wa bara hasa wakriso..
sERIKALI BADO INATUELEZA Z'BAR Z A GOOD PLACE TO LIVE?..binafsi kwakweli huwa nafikiri hata sipati jibu wat kind of god huyu wanaemuabudu.Wanaamini ni mungu aliye umba watu na vyote halafu wana muulia watu wake! badala wawaombee, mmmmmmh.mungu wao huyo wae muamin amishindwa kuwauwa hao makafri, this god hop has proven faire.....MUNGU WETU NI MWEMWA KUPITIA KWA MWANA WAKE YESU KRISTO, HATULIPIZI KWA MABAYA TUNAYO FANYIWA BUT INAUMA KUUWAWA BILA KOSA, KUNYANYASWA BILA KOSA INGAWA TUNAAMINI NI UTIMILIFU WA MAANDIKO, WAKRISTO WANAHUSIKA VIP NA MUUNGANO IF NOT WANATAFUTA SABABU TU..
TUKUMBUKE SIE SOTE NI BINADAMU, NO ONE WIL RAST FOREVER, SOTE TUTAKUFA..... ALIYE KUPA UHALALI WA KUTOA ROAHO YA MWEZIO NI NANI? TUSIFANYIANE UBAYA.NAMPENDA SANA YESU KOZI ALINIKATAZA KUUWA LKN NIWAPENDE WATU WOTE KAMA NINAVYO JIPENDA MIMI
Hao vijana wanaotumiwa kufanya hayo mauaji,kwa sababu ambazo wanazozijua wenyewe,hicho kitendo chao ndiyo kinaitwa ugaidi!Heh! waziri wa mambo ya ndani amelitangazia taifa kuwa Zanzibar kuna magaidi na kwamba wanafanya mpango wa kupata msaada wa kiitelijensia toka nchi zilizoendelea kuwapata magaidi hao waliomuua mtumishi wa Bwana Padre Mushi (RIP) leo asubuhi.