Emmanuel okwi na simba sport club

kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
176
Pamoja na kuwa mchezaji wao mwenye mkataba, simba imelazimika kumpa emmanuel okwi kiasi cha milioni 50 na gari juu, lengo ni kuhakikisha anaitumikia club hii,
 
co ishu rooney alipewa pesa mingi baada ya kuona mancity wanataka kumnyatia.hii ipo tu
 
Si Maarage alisema kuwa thamani yake nje ya Yanga ni billioni 3????
 
Hata ningekuwa mimi Okwi ninge'demand not less than huo mkwanja,unajua kuna vitu MahaRage anavifanyaga pasipo kujua kuwa mwisho wa siku vinamrudia yeye mwenyewe,unapom'publish mchezaj kuwa ana thamani kubwa namna ile unafikiria unamtengenezea picha gani katika akili yake,tena hapo kawafanyia favour sana ingetakiwa awakamue 100(Mill) kabisa,eenh si wa billion 3......
 
Pamoja na kuwa mchezaji wao mwenye mkataba, simba imelazimika kumpa emmanuel okwi kiasi cha milioni 50 na gari juu, lengo ni kuhakikisha anaitumikia club hii,
mimi sielewi sasa hapa!

Si nilimuona Mwenyekiti wa Simba na Mbunge wa Tabora Mjini akisema wamemuuza Austria kwa Euro 700,000, na akasema kuwa watatumia hizo pesa kuendeleza uwanja wao mpya huko Bunju!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!??????????????

Je alikuwa anadanganya au hakujua alichokuwa akikiongea mzee wa Bastora!? Sasa kama hata wabunge na wenyeviti wanaishi kwa kusema uongo na uzushi sisi wanachama wa kawaida itakuwaje? Nchi hii bwana..

mkuu sio kuendeleza uwanja kumbuka hata dalili za lori za mchanga hazijaanza kuonekana au ulikuwa huna taarifa?
 
Si'saini Simba naondoka zangu.
Ni maoni ya Mshambuliaji Emanuel Okwi wa Simba ambaye alikuwa akijibu swali la Mwandishi wa Global Publishers.
Okwi aliendelea kueleza kuwa ingawa bado ana mkataba na Simba lkn bado haja'sign kukipiga na team hiyo msimu unaokuja ksbb bado ana mpango wa kwenda kujaribu bahati yake ya kukipiga Ulaya.

Source: Gazeti la Champion la leo.
 
Msimu unaokuja msimu gani, 2012/2013 au msimu upi? ana mkataba hadi june 2013 kwa hiyo hahitaji kusaini tena ili achezee Simba msimu unaokuja labda kama unaongelea msimu unaokuja baada ya unaokuja.
 
Back
Top Bottom