GE2025 Emmanuel Nchimbi anachemshwa sana sana!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

NewPage

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2021
Posts
1,380
Reaction score
2,236
Jamaa statements zake nyingi zinamtoka sio za moyoni kabisa. Hata alivyokuwa anaongelea swala la maridhiano unaona kabisa sio sauti yake huyu jamaa.

CCM mtandao unamtumia vibaya sana, yaani ni kama alivyofanywa Lowasa.

2030 utaona akina Januari Makamba wanarudi kwenye peak na yeye kutupwa kama toilet paper.

Kama Malaika wa Bwana anampenda Nchimbi ngeshauri Chama chake waondoe vikwazo vyote kwa upinzani.

Mpina aendelee na kampeni, TAL aachiwe na waendelee na uchaguzi. Tunachofanya CCM ni kiini macho tu.

Ila ukweli matusi tunayaoga bhana, yaani kila mahali wanapojadili Uchaguzi ni matusi tu dhidi yetu.

WaTZ wanapunguza hasira zao kwa kututukana. Mbaya sana hii!
 
Huyu Nhimbi kweli n msomi lkn jamaa kwenye public speaking hayuko vzr,anachosha kusikiza n km hakujiandaa
 
Jamaa statements zake nyingi zinamtoka sio za moyoni kabisa. Hata alivyokuwa anaongelea swala la maridhiano unaona kabisa sio sauti yake huyu jamaa.

CCM mtandao unamtumia vibaya sana, yaani ni kama alivyofanywa Lowasa.

2030 utaona akina Januari Makamba wanarudi kwenye peak na yeye kutupwa kama toilet paper.

Kama Malaika wa Bwana anampenda Nchimbi ngeshauri Chama chake waondoe vikwazo vyote kwa upinzani.

Mpina aendelee na kampeni, TAL aachiwe na waendelee na uchaguzi. Tunachofanya CCM ni kiini macho tu.

Ila ukweli matusi tunayaoga bhana, yaani kila mahali wanapojadili Uchaguzi ni matusi tu dhidi yetu.

WaTZ wanapunguza hasira zao kwa kututukana. Mbaya sana hii!
Vipi hilo la maridhiano na lile la kuchukua wapinzani wazuri wazuri na kuwaleta upande wa Ccm (serikalini) baada ya uchanguzi, lipo kwenye ilani ya ccm 2025-2030?
 
Jamaa statements zake nyingi zinamtoka sio za moyoni kabisa. Hata alivyokuwa anaongelea swala la maridhiano unaona kabisa sio sauti yake huyu jamaa.

CCM mtandao unamtumia vibaya sana, yaani ni kama alivyofanywa Lowasa.

2030 utaona akina Januari Makamba wanarudi kwenye peak na yeye kutupwa kama toilet paper.

Kama Malaika wa Bwana anampenda Nchimbi ngeshauri Chama chake waondoe vikwazo vyote kwa upinzani.

Mpina aendelee na kampeni, TAL aachiwe na waendelee na uchaguzi. Tunachofanya CCM ni kiini macho tu.

Ila ukweli matusi tunayaoga bhana, yaani kila mahali wanapojadili Uchaguzi ni matusi tu dhidi yetu.

WaTZ wanapunguza hasira zao kwa kututukana. Mbaya sana hii!
Kweli sio kweli?
 
Juzi nimepita Nyerere Road kutokea Airport Mpaka Seaview Upanga, kumejaa picha za campaign za Samia tu. Nilitafakari huu uchaguzi wa aina gani kwamba picha za mgombea wa chama kimoja tu ndio zimetamalaki.

Toka kuanzishwa kwa vyama vingi tulizoea kuona picha za wagombea wa vyama tofauti tofauti zikiwa side by side kipindi cha uchaguzi. Ila safari hii imekuwa one man (woman) show.
 
Jamaa statements zake nyingi zinamtoka sio za moyoni kabisa. Hata alivyokuwa anaongelea swala la maridhiano unaona kabisa sio sauti yake huyu jamaa.

CCM mtandao unamtumia vibaya sana, yaani ni kama alivyofanywa Lowasa.

2030 utaona akina Januari Makamba wanarudi kwenye peak na yeye kutupwa kama toilet paper.

Kama Malaika wa Bwana anampenda Nchimbi ngeshauri Chama chake waondoe vikwazo vyote kwa upinzani.

Mpina aendelee na kampeni, TAL aachiwe na waendelee na uchaguzi. Tunachofanya CCM ni kiini macho tu.

Ila ukweli matusi tunayaoga bhana, yaani kila mahali wanapojadili Uchaguzi ni matusi tu dhidi yetu.

WaTZ wanapunguza hasira zao kwa kututukana. Mbaya sana hii!
Screenshot_20250904-083740~2.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom