Emmanuel Mbasha aachiliwa huru kesi ya ubakaji


Flora Mbasha nae anazunguuka na Lowasa nilimuona Bukoba kavaa kama changudoa..Tukirudi kwenye mada wakati anabaka mchana kweupe wewe ndio ulimshikia miguu..sasa kwa nini hukuenda kusaidia ushahidi?
 

Kuahidi kumtoa babu seya sio 'wanasiasa kuingilia maamuzi ya mahakama'? Una akili kweli wewe???
 

Ulikuwepo wkt akibaka ukahakikisha kabaka?
Mwacheni kijana wa watu alilopitia si dogo.
 
na wewe aliwahi kukubaka?

Hivi ya Chato umeyasikia Mkuu? Mbowe na timu yake hawana huruma kabisa, wanamtesa Mzee wa watu kwa ulafi wa madaraka. Hivi kwanini watoto na mkewe Lowassa wasimshauri apumzike tu?
 


Ushahid haukujitosheleza.
 

Aisee. Ni kweli alikiri? Mbaya sana hii kama alikiri kweli.
 
usimfunge mtu ili uwe huru kulala na mkewe. halafu unajiita kiongozi wa dini mzinzi

MI simtetei yyt, lkn je mna uhakika na haya yanayosemwa? Haya mambo wanaojua ukweli ni mbasha na mkewe huku nje tunadanganyana tu,,!! So better kuwa msikilizaji zaidi
 
Kwani alimkuta bikra? Mabinti wa leo 9yrs hana bikra , huenda huyo binti ndiye alitengeneza mazingira maana ni mzoefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…