mbasha anazunguka na magufuli kwenye kampeni kwa hiyo hakuna kesi ilikuwa maigizo tu.
tangu lini ccm ikajishtaki mahakamani.
UKAWA ikiingia madarakani huu upuuzi hatuutaki tena wa wanasiasa kuingilia maamuzi ya mahakama.
haiwezekani mtu kabaka mchana kweupe leo mtuambia hakubaka.
huu ni ujinga uliopitiliza.
Masengest ya CCM huwa wanatia kinyaa sana ... siasa gani hizi ? Madini, gas, wanyama wanatoweka wewe unatuletea udaku huku... Grrrrrrrrrrrrrrrrr
Masengest ya CCM huwa wanatia kinyaa sana ... siasa gani hizi ? Madini, gas, wanyama wanatoweka wewe unatuletea udaku huku... Grrrrrrrrrrrrrrrrr
Pole Emmanuel Mbasha, Mungu anakupigania , na wanao kuzushia waaibika milele.Mimi sisemi sana. Picha inaongea
View attachment 289465
Mkuu acha ujinga.mbasha anazunguka na magufuli kwenye kampeni kwa hiyo hakuna kesi ilikuwa maigizo tu.
tangu lini ccm ikajishtaki mahakamani.
UKAWA ikiingia madarakani huu upuuzi hatuutaki tena wa wanasiasa kuingilia maamuzi ya mahakama.
haiwezekani mtu kabaka mchana kweupe leo mtuambia hakubaka.
huu ni ujinga uliopitiliza.
Yuko kwa Gwajima, mzee mbaya sana yule anakula kuku na mayai yake.Wakuu mwenye picha ya huyo binti aliyedaiwa kubakwa tafadhali aturushie humu tumjue.
Unà mtindio wa ubongo, siyo bure, au nawe unatafunwa na Gwajima nini?Hii kesi was very interesting
Ni kweli kabisa alikiri kwenye recorded phone conversation kwamba alikula yule binti underage... kwa hiyari, sijui sheria ikoje
Lakini pia alitendwa na mkewe na Mch. Gwajima vibaya sana...
Should we rejoice?? somehow yes, sasa yuko huru kupambania yaliyobaki na mkewe... Somehow hapana, he fcuked underage girl