Emirates yanunua ndege 40


Umejieleza vizuri mno mkuu. Hongera sana
 
Inamaana biashara ya ndege inalipa sana endapo ukipata managment inayo eleweka... ATCL awekwe hapo juu mwarabu wa Dubai aendeshe hili shirika
Si kwamba wana Management nzuri rabda kuliko makampuni makongwe kama KLM au British Airways sema makampuni haya ya Gulf Carriers yani Qatar Airways,Emirates Airlines na Etihad Airways kutoka nchi mbili za United Arab Emirates na Qatar yanatumia fedha za serikali zao kwenye Biashara hii naweza kukupa mfano tu wa Emirates Airlines mjomba wake wa mtawala wa Dubai Shiekh Ahmed bin Saeed Al Maktoum ndio ECO wa Emirates ndio mkuu wa Civil Aviation Authority ya Dubai taasisi inayomiliki viwanja vya ndege Dubai ambapo ndipo makazi ya ndege zote za Emirates Airlines pia ndie mkurugenzi wa Shirika la mafuta ya Dubai shirika lenye wajibu wa kuweka mafuta kwenye ndege za Emirates pia ndio CEO wa ma Bank ya serikali ya Dubai Bank ambazo ndizo zinaikopesha pesa Emirates Airlines kununua midege so unaweza kuona kote maamuzi ni ya mtu mmoja sasa hapo unadhani kitatokea nini ? nikupe sifa moja ya waarabu coz nimekaa nao waarabu siku zote wanataka kufanya kitakacho wapafuraha bila ya kujali Faida au Hasara itakayopatikana ukifanya utafiti mijumba iliyokuwa inanunuliwa mamilioni 200-billion huko Tanganyika maeneo ya Temeke ,Magomeni,Mwananyamara sehemu ambazo kwa Mtu mweusi au mzungu kununua kiwanja au kijumba na kukibomoa na kujenga makazi na si sehemu ya biashara kwa milion 200 mpaka billion ni ngumu sana lakini waarabu wanaweza

Waarabu hasa hizi GC wanachotaka ni kutawala biashara ya usafirishaji wa anga bila kujali wanapata faida au hasara kwa sasa lakini uwekezaji wao kwa baadae unafaida sana kwani usafiri wa anga ndio usafiri pekee unaopendwa na kuaminiwa sana na watu wa kada mbalimbali na unatumiwa na watu wengi kuanzia viongozi,matajiri na watu wa kawaida na kweli ndani ya miaka hii 10-15 ijayo mashirika haya yatakuwa yametawala biashara ya usafiri wa anga duniani kwani mashirika mengi yamevunja route kwa kushindwa ushindani na mashirika hya kwani mashirika haya wana ndege nzuri na mpya pia wanauza ticket kwa bei nafuu je swali kila kampuni wanapovunja route fulani hapo nafasi pia za ajira zinapunguzwa so imagine ni makampuni mangapi duniani yamevunja route sehemu mbalimbali duniani kwa kushindwa ushindani ambao si fair kwa makampuni hayo?

SirChief Nyanjomigire BlackPanther
 

Ukichunguza utagundua Dubai wanamiliki mafuta yao kwa asilimia 100 sio 16.
 

Dah Mungu akubariki kamanda. Nimejifunza mengi mno kutoka kwako.
 
Reactions: SDG
Sie tununue abood 500 zipige kazi mpk watu wa mpanda wafurahi

Mungu zibariki hizo kampuni waongeze ndege zaidi na zaidi ili watu wapate ajira,,,bila kusahau kampuni kubwa ya ATC ambayo inamiliki ndege moja na moja ipo lockup nchini canada.kwa sasa kampuni yetu inatumia ndege bora kuwahi kutokea katika uso wa tanganyika na zanzibar,,,BOMBADIA
 
Reactions: SDG
Hahahahaha Bombadia wakti wenzetu wana Airbus A380
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…