Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,229
- 7,443
UAE pekee wanapokea watalii zaidi ya 30m kwa mwaka na hawanaga jambo dogo. Utalii kwao umechagizwa na Emirates airlines. Fikiria safari ya Dakika 45 (Dubai to Manama/Bahrain) wanarusha mzinga wa pipa wa abiria yapata 400. Itachukua miaka 500 na filamu kadhaa kuwafikia.