Bloodstone
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 922
- 996
Hii habar niliipata nusu kama unayo kamili tujuzeKingine wanasema jamaa walimlazimisha aingie Freemason au wamshushe kisanii...ndio alipoanza kula unga sana cocaine hadi kushuka kisanii coz walimuhofia ,
Wanadai aliingia kishingo upande kutumika but sometimes akawa ana wacrush Kama pale alipokuja na Ngoma ya Am Not Afraid nk
Embu tuweke nyimbo zake kama hivi kwa wapenzi wa Em kama mimi tuzidownload tusizokuwa nazo
Ni ndefu mkuu,c unajua haya mambo yanakuaga na Theory nyingiHii habar niliipata nusu kama unayo kamili tujuze
No return inahusika auNi ndefu mkuu,c unajua haya mambo yanakuaga na Theory nyingi
Ni Kama issue ya Michael Jackson tu watu wanasema ilikua anataka ku expose ukweli wote kwenye show yake ile ya mwisho jamaa wakamuwahi ,
Wengine wanadai walikua washamalizana nae so wakaona hana umuhimu Tena kwao wakammaliza,
Wengine wanasema ilikua lazima wamuuwe coz mfalme wa Pop hawezi kuwa Black... that why hata baada ya kufa wameendelea kukandamiza kazi zake na kuibua kashfa /scandals zake kibao
So na Eminem nae anamastori yake behind the scenes kibao ikiwemo Ugomvi na mama yake,. Japo alimuomba msamaha kwenye Cleaning out my closet na Headlights,
Ugomvi na mkewe Kim/mzazi mwenzake kamtukana sana huyu kwenye nyimbo zake ikiwemo Mockingbird na Mariah Carey nk
Hadi kuingia kwenye cocaine,rehab yake nk.
But all in all huyu jamaa ni mkali sana kama anavoitwa Rap God so Kuna nguvu inamuhofia endapo hata kuwa upande wanaotaka awe,
So Kuna undercover stories kibao Mkuu.
Mimi niliyoona kaandika without meUmetisha mzazi...
Nilivyoiona hiyo ngoma ya "My name is" ndio nimeamini kuwa unamfuatilia vyema huyu fundi wa michano...
No return inahusika au
OkZipo kibao sema inatakiwa u read btn the lines,
Kuna Friend with the Monster pia
Hapa anaonesha Kuna kitu anataka kuacha lakini hawezi so hatujui huyo Monster Ni nani kati ya cocaine au wazee wa kaziZipo kibao sema inatakiwa u read btn the lines,
Kuna Friend with the Monster pia
Wazee wa kaziHapa anaonesha Kuna kitu anataka kuacha lakini hawezi so hatujui huyo Monster Ni nani kati ya cocaine au wazee wa kazi
Hapa anaonesha Kuna kitu anataka kuacha lakini hawezi so hatujui huyo Monster Ni nani kati ya cocaine au wazee wa kazi
Wakija nitagUgomvi wake na mama yake ilikuwa ni nini mtuambie
Asante kwa dondoo hii mkongwe..!Kingine wanasema jamaa walimlazimisha aingie Freemason au wamshushe kisanii...ndio alipoanza kula unga sana cocaine hadi kushuka kisanii coz walimuhofia ,
Wanadai aliingia kishingo upande kutumika but sometimes akawa ana wacrush Kama pale alipokuja na Ngoma ya Am Not Afraid nk
Ugomvi wake na mama ake ulianzia mbali Sana Mkuu...Ugomvi wake na mama yake ilikuwa ni nini mtuambie
Eminem kumbe ndo mzinguaji, mama anapambania uhai wa mwanae ye anazinguaUgomvi wake na mama ake ulianzia mbali Sana Mkuu...
Mama yake alitengana na Baba yake Eminem akiwa Mdogo sana,
So aliishi na Mama yake inasemekana hakuwahi kumjua baba yake..
Mama yake hakua na kazi so waliishi kwenye kijumba kwa kujibana na Mama yake and mama yake ilibidi kujiuza mwili ili wale na alifanyia hapo hapo kwenye kichumba anachoishi na Eminem so sometimes alikua anabakwa mbele yake au anafanywa na kuzulumiwa mbele yake na kupigwa makofi...mama alitumia na kuuza cocaine na kutumika sana...
So Ugomvi ulikua Ni lifestyle yao na Mama yake Eminem hakuipenda kukulia kwenye yale mazingira sometimes wakati anamiaka 8 hadi 11 alishawashikia bastola na kuwakimbiza mabwana wa Mama yake na kuwatimua malaya walioweka kambi na kugeuza danguro pale kwao...
So ilikua Ni migogoro isiyoisha na mama yake hadi nayeye akatumbukia kwenye magenge...
But later ali notice why Maza wake aliingia kwenye ile lifestyle,
Angalia 8miles amegusia life yake kabisa