engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
achana nao wezi hao
Mkuu huwa kitu cha msaada siogopi kuweka hadharani ili kama ninaibiwa ama mtu ana nia mbaya najua mapema..infact kilichonitisha nilipopiga namba yake aipatikani nikajua ndugu yangu yamemkuta ..anyway nimesoma link moja imeandikwa kama email iliokuja kwangu niko hoi lohPiddy angalia nawe watu wanaweza kuhisi kama unasaidiana na hao matapeli mkuu
angalia kaka ni matapeli hawa, huyu magembe ni magembe gani?? ni UK ipi watu wanaibiwa ovyo hivi?? kama yupo Ubalozini ni wajibu wa ubalozi kumsaidia na atalipa akifika nyumbani. huo ndo utaratibu wa ki balozi. ogopa !!!!!!!!!!!!
Mkuu huwa kitu cha msaada siogopi kuweka hadharani ili kama ninaibiwa ama mtu ana nia mbaya najua mapema..infact kilichonitisha nilipopiga namba yake aipatikani nikajua ndugu yangu yamemkuta ..anyway nimesoma link moja imeandikwa kama email iliokuja kwangu niko hoi loh
hao wezi kaka achana nao kabisandugu zanguni wapendwa kuna mwana mwenzetu amekutwa huko uk leo asbh
tunaomba mlio uk msaada wenu muhimu zaidi
good morning,
i'm writing this with tears in my eyes,i came down here to england on a short vacation unfortunately i was mugged at the park of the hotel where i stayed,all cash,credit card and cell phone were stolen off me but luckily for me i still have my passport with me.
I've been to the embassy and the police here not helping issues at all and my return flight leaves in few hours from now but am having problems settling the hotel bills and the hotel manager won't let me leave until i settle the bills.
Am so worried at the moment.
Magembe
mkuu mzee punch
hiyo email tunafanya nae kazi sana huyo jamaa,infact tulipona asbh tukapiga kucheki kama ni msala ya magharibi akawa apatikani...ndio nikasema labda kuna waungwana wenye kutoamsaada tatizo ajaweka full details