Emergency, need your help pls | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Emergency, need your help pls

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Nov 1, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  ************************
  MODERATOR'S WARNING: Hii ni scam, usidanganyike ukaibiwa kirahisi!
  ************************

  NDUGU ZANGUNI WAPENDWA KUNA MWANA MWENZETU AMEKUTWA HUKO UK LEO ASBH
  TUNAOMBA MLIO UK MSAADA WENU MUHIMU ZAIDI
  Good Morning,
  I'm writing this with tears in my eyes,I came down here to England on a short vacation unfortunately i was mugged at the park of the hotel where i stayed,all cash,credit card and cell phone were stolen off me but luckily for me i still have my passport with me.

  I've been to the embassy and the Police here not helping issues at all and my return flight leaves in few hours from now but am having problems settling the hotel bills and the hotel manager won't let me leave until i settle the bills.

  Am so worried at the moment.

  Magembe
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
 3. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Hakuna msaada zaidi ya kuwasiliana na jamaa zake, awape bank details za hiyo hotel watume pesa na kuscan hizi risiti.
   
 4. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mkuu Pdidy, watch out! Hiyo meseji ni ya wahuni wa Afrika Magharibi, huitumia sana kutapeli watu wasio-suspect chochote na kuwaibia. Hakuna kitu kama hicho.
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  sidanganyiki.....
   
 6. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Pitty the guy, but since he has his passport he still can take the next flight to Dar as long as he remebers which carrier he was booked to. His booking information is kept by the concerened airline / agent. He has to pull himself together and face the truth that he has met the culprits (it's romoured that they're plenty down there).
   
 7. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Huyu nadhani alijaribu kujilipua ikashindikana!
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  mkuu mzee punch
  hiyo email tunafanya nae kazi sana huyo jamaa,infact tulipona asbh tukapiga kucheki kama ni msala ya magharibi akawa apatikani...ndio nikasema labda kuna waungwana wenye kutoamsaada tatizo ajaweka full details
   
 9. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  binadamu wote ni sawa! Hawa jamaa mara nyingi wanafanyiwa hivyo wakija huku (nimeshuhudia mara kadhaa) na maaskari wetu wamekuwa wazito kwa kiasi kikubwa, sasa nasi yakianza kututokea huko pia ndio tutaona umuhimu wa kuifanya dunia kuwa mahala bora pa kuishi ni jukumu la binadamu wote!
  Pole sana magembe na unaweza kuwasiliana na watu wa karibu kwanza na huku nyumbani sasa hivi tuna hali ngumu kweli!
   
 10. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Mkuu huyo ni popo.
  Tena atakuwa a Nigerian. Usanii wa kizamani huo. Kama jamaa ana shida sana si aende embassy
   
 11. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Sina uwezo wala mpango wa kumsaidia huyu ndg ila kama tahadhari kwa wana JF wenzangu; meseji hizi zinatumwa mara nyingi pale ambapo email account password ya mtu aliyekuwa kwenye mailing list yako inapokuwa compromissed (imeingiliwa)...Utatumiwa meseji kibao kutoka kwa mtu amabye unawasiliana naye mara nyingi akilia taabu aliyopata akiomba msaada.

  TOA MSAADA UONE MOTO WAKE........Ni moja ya aina wa wizi ambao umekuwepo muda mrefu kidogo ambapo usipokuwa makini UTASAIDIA KIVULI na ukiwasiliana na jamaa yako atakwambia hata mji anaoishi hajatoka kusafiri!!!

  KUWENI MAKINI NA CHUKUA TAHADHARI
   
 12. Vato

  Vato JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Wizi mtupu huo, fuata link ifuatayo ukasome meseji hyo hyo iliyotumwa na mtu mwingne tofauti akilia kilio hcho hcho kuelezea madai hayo hayo..

  Emergency!!! « Mad Molly
   
 13. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,499
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ifuatayo ndiyo meseji inayotajwa katika hiyo link; je haifanani na hiyo anayosema pdidy?

  [h=1]Emergency!!![/h]October 20, 2011 in Uncategorized

  [TABLE]
  [TR]
  [TD]Good Morning, I'm writing this with tears in my eyes,I came down here to England on a short vacation unfortunately i was mugged at the park of the hotel where i stayed,all cash,credit card and cell phone were stolen off me but luckily for me i still have my passport with me.
  I've been to the embassy and the Police here not helping issues at all and my return flight leaves in few hours from now but am having problems settling the hotel bills and the hotel manager won't let me leave until i settle the bills.
  Am so worried at the moment.Rita

  Watchout -wote huo ni utapeli tu; bila shaka email ya mhusika imeingiliwa!
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 14. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  unatakiwa kulipia hotel kabla ya kuingia....
   
 15. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  heee am shocked!!kheee
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  Mbona email ni yake jamani loh...
   
 17. Pezzonovante

  Pezzonovante JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2011
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 643
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Oooooh jamani help him haraka kabla sijawabariki
   
 18. s

  sanjo JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Western Union is the most appropriate mode of payment in such circumstance.
   
 19. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #19
  Nov 1, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  I think your friend's mail has been hacked!

  Hawa jamaa wa West Africa wakibahatisha ku-hack e-mail yako, basi hutuma SOS message kwa address book nzima. Kawaida huanza kwa kutuma link ya spam email na ukikosea ukaifungua basi settings za email yako zinaenda kwake na baada ya hapo ndio jamaa zako wanapokea email kama hizi.
   
 20. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #20
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Hapo hamna kitu,

  Hapa jamaa wame-hack email address yake alafu wanaitumia kutaka kuiba kiujanja. Nilishawahi pata case kama hii ya mtu ninayemfahamu na message kaandika kuwa alisafiri kwenda ulaya bahati mbaya ameibiwa kila kitu. Ili kujiridhisha, nikampigia simu akapokea, kumweleza akashangaa. Hakuwahi kusafiri, alipokwenda kucheck email yake, hakuweza kuingia. Hiyo ni "Nigerian type" ya utapeli, ukituma pesa, mekula kwako.
   
Loading...