Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,132
- 1,683
Kisa?Dk. Hussein amejiuzulu bila shaka.
Mnamsakama sana kuwa siyo mzaznzibariKisa?
mawaziri na viongozi mbalimbali wapo kazini, usiwe na wasi wasi, endelea na shughuli zako kwa bidii serikali iko kazini kuhudumia wananchi na kuwatumikia π
Mkuu Tlaatlaah mawaziri wako kazini gizani?mawaziri na viongozi mbalimbali wapo kazini, usiwe na wasi wasi, endelea na shughuli zako kwa bidii serikali iko kazini kuhudumia wananchi na kuwatumikia π
Kwa kipi ajiuzuru?Dk. Hussein amejiuzulu bila shaka.
Mnemba Island zamani sana kilikodishwa si kuuzwa, nadhani Billget ana % zake, nadhani mkataba wa awali uliisha.Nimesikia Kuna baadhi ya visiwa vishauzwa ikiwemo mnemba island wamarekani wanataka kufanya tourist destination
Mkuu gammaparticles mithali yako ina maana gani?Wahenga wanasema;
"Ukitaka kujua habari za tajiri, muulize masikini"
Hujaelewa wapi?Hoja yako hasa NI nin?
Mkuu technically ni kweli kabisa, naomba unitoe giza nene mkuu kwenye hili.Usililijua ni kama usiku wa Giza Nene!!
Kidumu chama chetu pendwa.Kidumu milele chama Cha mapinduzi C.C.M
gizani!πMkuu Tlaatlaah mawaziri wako kazini gizani?
Wewe ni mmoja wa hao Mawaziri?gizani!π
kulikua na tatizo la umeme majuzi na bado sio stable sana kwa Zanzibar ila upo, but hiyo haiwezi kufanya vitu vifanyike gizani, umeme mbadala upo siku zote na hotel hiyo ni kubwa mno haiwezi kukosa standby generator....
lakini pia umwezaje kuona watu wanafanya kazi gizani hotel kubwa kama hiyo au unatamani waache pazi wazi π
Kumbuka kuna wateja pia ambao hulala humo humo na wanalipa pesa ndefu kisha uwalaze kiza ya kweli hayo π
kama mwanahabari mkongwe unaefahamu misingi ya uandishi na weledi wake, unafahamu vizuri sana mahali pakupata ufahamu, uelewa au ufafanuzi juu ya mambo mbalimbali serikalini πWewe ni mmoja wa hao Mawaziri?
Mh waziri mikutano yenu pale Matemwe Muyuni Zanzibar, mliofanya kwa siku 5 je kuna chombo chochote cha habari kimeripoti hiyo mikutano au mikutano imefanyika kimya kimya, huku umma wa Watanzania wengi wako gizani kwenye hili?
Mkutano wa mawaziri wa Jumuia ya madola pale Golden Tulip hotel Zanzibar, Mhe Rais Samia kwenye kufungua na Mhe Rais Mwinyi kwenye kufunga ilikuwa ikiripotiwa na vyombo vya habari.
Huu wa baadhi ya mawaziri na Wamarekani hotel ya Matemwe kwa nini haijaripotiwi na media?