Embu vuta picha

Embu vuta picha

Chakufanya ni kumcholea makaratas alaf unamwekea kwenye bahasha unampelekea.atorudia tena!!
 
attachment.php
Si kazi rahisi tu, unajibu SMS na wewe unaandika pokea 100,000 hiyo darling. Luv u too hny!
 
Ubora wa simu hauwezi kudetermine kama mtu ana pesa au lah, kwasababu watu wanatumia simu kulingana na kazi zao na mahitaji yake.
Mara nyingi watu kama waandishi wa habari huwa na simu ambazo zinaweza support kazi zao kitu ambacho kinatoa tofauti kati ya simu ya mwanafunzi, Spy, daktari, fundi makenika, mzibua vyoo n.k

Kwahiyo kwa kuangalia hiyo meseji pamoja na uchovu wa simu havitupi picha harisi ya aliye tumiwa meseji.
Ni hayo tu wakuu.
 
Ili msigombane wala msikosane reply same msg to her.
Umachotakiwa kuongeza katika msg ni ''love u too''
 
dah wanaume tuna shda sana nampotezea
 
Back
Top Bottom