Umekuwa kibubu gafla.......Hizo hela bora unipe mie nikudundulizie
Du matusi hayo[emoji33]Unataka nimuache aje kwako au
unataka kumbemenda mtoto wa watuNjoo kwangu mpendwa nikupe somo unalolihitaji
Mana hakuna namna nyingine sasaUmekuwa kibubu gafla.......
Kwa kweli.......Mana hakuna namna nyingine sasa
Maneno kunduuuu......bibiye!! rubii watokea Tanga nini weyee..Wewe kweli hamnazo kwani uroda anapata mwenyewe?? Kidondani patamu na nzi ndio nishapafia ndugu yangu....habari uipate utamu wake ndio unanituliza, na kwa aksh anazonitia habadani simuachi!!
unataka kumbemenda mtoto wa watu