Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,412
- 26,890
Maembe adimu sana haya.
verified user jiangalie.... haya mambo ya ngono yatakuharibia jina...maana unajulikanaMaembe adimu sana haya. View attachment 1128854
verified user jiangalie.... haya mambo ya ngono yatakuharibia jina...maana unajulikana
kweli siasa za kinyume na ccm na verified user jichunge labda kama unasifia. Huoni Pascal Mayalla anaimba mapambio kuzidi kwaya ya mtakatifu Joseph Pascal MayallaTukigusa siasa tunaambiwa verified user tujichunge. Siku nyingine ngoja tufurahi . Hakuna namna
kweli siasa za kinyume na ccm na verified user jichunge labda kama unasifia. Huoni Pascal Mayalla anaimba mapambio kuzidi kwaya ya mtakatifu Joseph Pascal Mayalla
umenipata vema. have a blessed sundayukitaka piga siasa kindakindaki una upo verified basi ungana na jingalao , cocochanel , &Co
umenipata vema. have a blessed sunday
Leo siku yake ya kufanya toba, acha apunguze gape kati yake na Sir God.
Leo siku yake ya kufanya toba, acha apunguze gape kati yake na Sir God.
Ogopa sana watu wanaoandika vitu vya kipuuzi, wengine huwa ni wazuri sana ila hujificha kwenye kivuli cha upuuzi.Yule jamaa mada zake ni balaa tupu. Kuna siku alimjibu mtu kuwa asitegeme siku ataandika kitu cha maana.
Anaienzi id yake ipasavyo
Jiachie mwana, achana na hao kunguru kukimbia kivuli. Hiyo picha hata kwenye group za maofisi tunaweka sembuse hapa?Tukigusa siasa tunaambiwa verified user tujichunge. Siku nyingine ngoja tufurahi . Hakuna namna
ukitaka piga siasa kindakindaki una upo verified basi ungana na jingalao , cocochanel , &Co