Emanuel Buyogela wa ITV anatumika vibaya na CCM

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
918
Watanzania,

Huyu mwandishi ndiye aliyechaguliwa na CCM kutetea marekebisho mabovu ya katiba yaliyopitishwa.Anatumia kipindi cha dakika 45 ambapo anawaalika mawaziri korofi wa CCM kushambulia hoja za wapinzani bila wao kuwapo kujitetea.Wiki iliyopita alimwalika Lukuvi na leo amemwalika Wasira.

Na ukifuatilia utaona Buyogela anawauliza maswali mepesi mepesi sana yanayowarahisishia kuwaponda wapinzani huku wakijizungusha kwenye kiti wakijua fika hakuna mtu wa kuwauliza au kujibu hoja.Kwa nini Masako hajumuishwi kwenye kipindi hiki wakati na yeye ni mtangazaji wa ITV?Masako ni mwandishi anayejua kuuliza maswali yenye tija kwa Taifa.

Ushauri:

Buyogela,kama unadhani wewe ni mwandishi makini basi andaa kipindi kingine ambacho utawashirikisha,aidha Wasira na Mbowe au Lukuvi na Mbowe kuzungumzia suala hili la katiba,vinginevyo utakuwa sawa na majangili tu ambapo unaruhusu upande mmoja kuukandamiza upande mwingine ambao haupo kujitetea.
 
Kweli kabisa mkuu,katika vipindi nachukia dk 45 kinaongoza ila sidhani kama anaitwa emanuel buhohela,anaitwa s semunyo
 
ITV waangalie hoja hii kwa kurekebisha mwenendo wa[h=2]Emanuel Buyogela, kwani itaharibu sifa nzima ya kituo, ambacho ni moja ya vituo bora Afrika Mashariki vinavyokonga mioyo ya wanaopenda ukweli na uwazi[/h]
 
haswaaa kafanya nn? yeye si moderator tu? ukwli pinti ya kwanza ya wassira ilikua ni kumpongeza kwa ku-take over kipindi
 
Watanzania,

Huyu mwandishi ndiye aliyechaguliwa na CCM kutetea marekebisho mabovu ya katiba yaliyopitishwa.Anatumia kipindi cha dakika 45 ambapo anawaalika mawaziri korofi wa CCM kushambulia hoja za wapinzani bila wao kuwapo kujitetea.Wiki iliyopita alimwalika Lukuvi na leo amemwalika Wasira.

Na ukifuatilia utaona Buyogela anawauliza maswali mepesi mepesi sana yanayowarahisishia kuwaponda wapinzani huku wakijizungusha kwenye kiti wakijua fika hakuna mtu wa kuwauliza au kujibu hoja.Kwa nini Masako hajumuishwi kwenye kipindi hiki wakati na yeye ni mtangazaji wa ITV?Masako ni mwandishi anayejua kuuliza maswali yenye tija kwa Taifa.

Ushauri:

Buyogela,kama unadhani wewe ni mwandishi makini basi andaa kipindi kingine ambacho utawashirikisha,aidha Wasira na Mbowe au Lukuvi na Mbowe kuzungumzia suala hili la katiba,vinginevyo utakuwa sawa na majangili tu ambapo unaruhusu upande mmoja kuukandamiza upande mwingine ambao haupo kujitetea.

anatafuta ukuu wa wilaya
 
Ngoja tumwambia Dr. Reginald Mengi amweke pembeni.
 
hapo ndo upinzani unatakiwa uchukue hatua, haushindwi kuomba kufanya kipindi kama hicho ili kujibu hoja au waitishe mkutano na waandishi wa habari.
 
mmh! ngoja nifuatilie,no research no ....
 
Watanzania,

Huyu mwandishi ndiye aliyechaguliwa na CCM kutetea marekebisho mabovu ya katiba yaliyopitishwa.Anatumia kipindi cha dakika 45 ambapo anawaalika mawaziri korofi wa CCM kushambulia hoja za wapinzani bila wao kuwapo kujitetea.Wiki iliyopita alimwalika Lukuvi na leo amemwalika Wasira.

Na ukifuatilia utaona Buyogela anawauliza maswali mepesi mepesi sana yanayowarahisishia kuwaponda wapinzani huku wakijizungusha kwenye kiti wakijua fika hakuna mtu wa kuwauliza au kujibu hoja.Kwa nini Masako hajumuishwi kwenye kipindi hiki wakati na yeye ni mtangazaji wa ITV?Masako ni mwandishi anayejua kuuliza maswali yenye tija kwa Taifa.

Ushauri:

Buyogela,kama unadhani wewe ni mwandishi makini basi andaa kipindi kingine ambacho utawashirikisha,aidha Wasira na Mbowe au Lukuvi na Mbowe kuzungumzia suala hili la katiba,vinginevyo utakuwa sawa na majangili tu ambapo unaruhusu upande mmoja kuukandamiza upande mwingine ambao haupo kujitetea.

Watanzania mna nini? kila kipindi kinapoanzishwa kinakua na a certain core target, alipokua Seleman Semunyu mkaanza kubwatuka humu JF, ni kikao gani cha Ccm Kilitangaza kumchagua Buhohela? kwanza kumbuka yeye hana hatimiliki ya kipindi bali kipindi ni cha kampuni, yeye anawakilisha maudhui kusudiwa..acheni kubwata bwata! tafuteni facts!
 
Watanzania,Huyu mwandishi ndiye aliyechaguliwa na CCM kutetea marekebisho mabovu ya katiba yaliyopitishwa.Anatumia kipindi cha dakika 45 ambapo anawaalika mawaziri korofi wa CCM kushambulia hoja za wapinzani bila wao kuwapo kujitetea.Wiki iliyopita alimwalika Lukuvi na leo amemwalika Wasira.Na ukifuatilia utaona Buyogela anawauliza maswali mepesi mepesi sana yanayowarahisishia kuwaponda wapinzani huku wakijizungusha kwenye kiti wakijua fika hakuna mtu wa kuwauliza au kujibu hoja.Kwa nini Masako hajumuishwi kwenye kipindi hiki wakati na yeye ni mtangazaji wa ITV?Masako ni mwandishi anayejua kuuliza maswali yenye tija kwa Taifa.Ushauri: Buyogela,kama unadhani wewe ni mwandishi makini basi andaa kipindi kingine ambacho utawashirikisha,aidha Wasira na Mbowe au Lukuvi na Mbowe kuzungumzia suala hili la katiba,vinginevyo utakuwa sawa na majangili tu ambapo unaruhusu upande mmoja kuukandamiza upande mwingine ambao haupo kujitetea.
Mkuu, Anaitwa Emmanuel Buhohela na cyo Buyogela
 
Watanzania,

Huyu mwandishi ndiye aliyechaguliwa na CCM kutetea marekebisho mabovu ya katiba yaliyopitishwa.Anatumia kipindi cha dakika 45 ambapo anawaalika mawaziri korofi wa CCM kushambulia hoja za wapinzani bila wao kuwapo kujitetea.Wiki iliyopita alimwalika Lukuvi na leo amemwalika Wasira.

Na ukifuatilia utaona Buyogela anawauliza maswali mepesi mepesi sana yanayowarahisishia kuwaponda wapinzani huku wakijizungusha kwenye kiti wakijua fika hakuna mtu wa kuwauliza au kujibu hoja.Kwa nini Masako hajumuishwi kwenye kipindi hiki wakati na yeye ni mtangazaji wa ITV?Masako ni mwandishi anayejua kuuliza maswali yenye tija kwa Taifa.

Ushauri:

Buyogela,kama unadhani wewe ni mwandishi makini basi andaa kipindi kingine ambacho utawashirikisha,aidha Wasira na Mbowe au Lukuvi na Mbowe kuzungumzia suala hili la katiba,vinginevyo utakuwa sawa na majangili tu ambapo unaruhusu upande mmoja kuukandamiza upande mwingine ambao haupo kujitetea.

Kkwanza haitwi Bugoyela,anaitwa Buholela.halafu pili swali kwako,ulitaka atumike na CHADEM??!
 
Ni vema kukawa na usawa ikiwezekana pande zote zote ziwe zinahuzuria!
 
nyie bora mnakifatilia, mie kama jana nimemwona yule fisi nikaamisha na chanel. duu! unaweza kushindwa kulala.
 
Watanzania mna nini? kila kipindi kinapoanzishwa kinakua na a certain core target, alipokua Seleman Semunyu mkaanza kubwatuka humu JF, ni kikao gani cha Ccm Kilitangaza kumchagua Buhohela? kwanza kumbuka yeye hana hatimiliki ya kipindi bali kipindi ni cha kampuni, yeye anawakilisha maudhui kusudiwa..acheni kubwata bwata! tafuteni facts!

Hawa vihiyo wanatapatapata. Na ukichaa wetu wa kutokujua haya na haya nchi haiuzwi kwa chama chochote cha siasa, akili ni zile zile! kutwa kulalama hata siku moja hawana hoja.
 
Yeye ni mwajiriwa tu na anapangiwa kuendesha kipindi,hajipangii mwenyewe.Au mnataka vipindi vyote wawe wanaalikwa kina Tundu Lissu tu?Msitokwe na mapovu wakati wa kuwaalika ukifika na wenyewe wataalikwa.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom