Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,036
- 168,674
hekimatele umeona kwa jicho la 3umeamka na ndoto hii Bujibuji? Leo lazima mambo yako yende sawa kama ushajikomboa toka katika utumwa wa kiakili.
Kuna tofauti kubwa kati ya mwanamuziki na msanii wa kizazi kipyaNamimi nikaanza Ludlow redemption song..... The song of freedom... Hii kitu jamaa alifikiria sana. Sio Kama nataka kulewa kulewa
... Soweto bombs!yaani kusoma tu kichwa cha habari.....nimeanza kuflow......
none but ourselves can free our minds.......
have no fear for Soweto bombs.......
cause none of them can stop the time.......
yaani kusoma tu kichwa cha habari.....nimeanza kuflow......
None but ourselves can free our minds.......
Have no fear for soweto bombs.......
Cause none of them can stop the time.......