pandagichiza JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 6,439 Reaction score 4,827 Mar 30, 2026 #1 Ulishawahi kutuma email kwenye hizi email address zilizopo kwenye website za Wizara ukajibiwa?
B Bangalow JF-Expert Member Joined Feb 18, 2026 Posts 220 Reaction score 679 Mar 30, 2026 #3 Wizara mzima computer ya ofisi ipo moja, unategemea nn ?
ubongokid JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 2,370 Reaction score 4,643 Mar 30, 2026 #4 Serikali ambayo imejaa cronies ambao hata kuwasha computer hawaui utegemee wajibu email?Mimi nimewahi Jibiwa ila sio kila wizara na idara,Ni baadhi tu.
Serikali ambayo imejaa cronies ambao hata kuwasha computer hawaui utegemee wajibu email?Mimi nimewahi Jibiwa ila sio kila wizara na idara,Ni baadhi tu.
Ngarob JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 1,046 Reaction score 3,578 Mar 30, 2026 #5 Ukitaka jambo lako na hii Serikali lifanyike, tafuta mtu wa CCM au connection na mtu wa Serikali.. Email sijui Barua hazijibiwi nyingi..
Ukitaka jambo lako na hii Serikali lifanyike, tafuta mtu wa CCM au connection na mtu wa Serikali.. Email sijui Barua hazijibiwi nyingi..