Elvis Peter HR Assistant wa Alistair Group (Kurasini) acha roho mbaya

Status
Not open for further replies.
Aisee sijapata kuona mkaka ana roho mbya kama huyu daaah just imagine mtu unafanyishwa intervieww ngumu for 40min maswali magumu haijapata kutokeaa unapass,

.
.second interview inakuwa ya skype unafanyiwa na wahindi jaman wanaukiza maswali vizuri saaana yaan wako vizuri mpka unaenjoy

Inteview ya mwisho ndo face to face with hiring manager ndo unakutana na huyo bazazi Elvis mkaka ana majivuno,ana maswali ya dharau,imagine hakuulizi swali lolote linalolohusina na interview hata kwenye job description hamna bora hata yangekuwa ni.maswali ya technical skills .....and hili swala sio mimi tu watu kibao wanakukalalamikiaa,una maswali ya kimama saana we mkaka
.
.alafu anajikuutaga alistair ni ya kwao while naye kaajiriwa kama watu wengine wenye kampuni wapo fair na wanaongea vizuri ila ww mkaka nilitamni kukutemea makohozi shame on you ....kampuni ya mzungu sio ya kwenu!
Inavyoonesha wewe ndio hujui unachofanya. 1. Online interview ya Alistair au kampuni nyingine yoyote ni APTITUDE TEST, na lengo lake ni kupima uelewa binafsi na sio utaalam uliosomea. So kabla hujasena ni ngumu ijue kwanza.
2. Tayari unaonekana umefeli interview.
 
Bora useme ww achana na hawa vilaza wenginee
With simple overview hiyo kampuni in matatizo makubwa ya HR. Nadhani huyo Peter ndio kinega.

Nafasi hizihizo Mara nyingi zinatangazwa.
Zipo taarifa mabinti usipotoa papuchi hata ulibahatika kuajiriwa utabambikiwa poor performance utafukuzwa kazi. Kipindi Cha probabation watakuambia hatukuhitaji.

Kampuni hi imeingia kwa mkwara mzito lakini kutokana na Hali ya uchukuzi na usafirishaji kwa Sasa na mkopo walionao kusurvive itahitaji guts over fear kwa Alistair. Ikiwa hate kampuni bobezi Kama Maersk Zina jipunguza taratibu Hali ni mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee sijapata kuona mkaka ana roho mbya kama huyu daaah just imagine mtu unafanyishwa intervieww ngumu for 40min maswali magumu haijapata kutokeaa unapass,

.
.second interview inakuwa ya skype unafanyiwa na wahindi jaman wanaukiza maswali vizuri saaana yaan wako vizuri mpka unaenjoy

Inteview ya mwisho ndo face to face with hiring manager ndo unakutana na huyo bazazi Elvis mkaka ana majivuno,ana maswali ya dharau,imagine hakuulizi swali lolote linalolohusina na interview hata kwenye job description hamna bora hata yangekuwa ni.maswali ya technical skills .....and hili swala sio mimi tu watu kibao wanakukalalamikiaa,una maswali ya kimama saana we mkaka
.
.alafu anajikuutaga alistair ni ya kwao while naye kaajiriwa kama watu wengine wenye kampuni wapo fair na wanaongea vizuri ila ww mkaka nilitamni kukutemea makohozi shame on you ....kampuni ya mzungu sio ya kwenu!
JIna la kiume lakini maandishi ya kike....jinsia yako kwanza plz
 
Hayo maswali 40 ni APTITUDE TEST kwa pale Alistair. Aptitude test maana yake ni kupima uelewa na sio ujuzi, kuna mdau mmoja aliwahi kuja hapa akalalamika ameulizwa maswali hayahusiani na alichosomea. Unayoyasema wakati mwingine yanawakilisha uelewa wako. Binafsi sioni tatizo na hayo maswali unayosema magumu maana ninlishayafanya japo sikupata hata hiyo nafasi ya Skype interview. Ila wabongo tubadilike maana siku hizi makampuni yanatafuta watu sahihi na sio wenye vyeti. Imagine unaajiri mtu hata ukimuuliza maswala ya kijamii hajui, mtu unamuuliza Tanzania ina mikoa mingapi hajui. Nisiseme sana ila kwa ufupi hayo maswali 40 ni aptitute test na ni kitu cha kawaida kabisa sema hapa kwetu tushazoea ujinga ujinga ndio maana mtu analalamika.
 
fung bkuli lako na usome uelewe aptitude test nilipata over 70 nikafanya oral nikapita thn nikaenda kwenye int ya face to face ndo nikakutana na huyo mshenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwez nielewaaa ndugu...... Tulikuwa watu 10 na watoe tulipass over 70 mahesabu yao magumu saana na interview yake haizid dk 2 mtu kashatoka na wote kumi tuliopitishwa na hr manager hamna aliyepata .....like seriously??
Leta maswali hapa wanaume tuya solve sio unapiga piga kelele hilo ndio tatizo la kukalili past paper za chuo au GPA za kuonyesha upaja kwa Lecturers.

Sijawahi hata siku moja kukutana na interview ngumu,ndio nasikia kwako kwmb kuna interview zinakuwaga eti ngumu.Hizo ngumu zinakuwaje natamani kukutana nazo.

Unapata nafasi ya interview watu wachache kumi unashindwa kuchomoka aibu sana harafu unakuja kupiga piga kelele Jf.Nilishawai kufanya interview ya watu 400 nikaibuka mwnyw tuka negotiate mshahara ukawa kima cha mbuzi nikatemana nao.
Ebu tuache kwanza tupumzike,you talk too much :cool: :cool: :cool: :cool: :cool:
 
lol wasio na kazi utawajuaa tu baba pambana na dhiki zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee sijapata kuona mkaka ana roho mbya kama huyu daaah just imagine mtu unafanyishwa intervieww ngumu for 40min maswali magumu haijapata kutokeaa unapass,

.
.second interview inakuwa ya skype unafanyiwa na wahindi jaman wanaukiza maswali vizuri saaana yaan wako vizuri mpka unaenjoy

Inteview ya mwisho ndo face to face with hiring manager ndo unakutana na huyo bazazi Elvis mkaka ana majivuno,ana maswali ya dharau,imagine hakuulizi swali lolote linalolohusina na interview hata kwenye job description hamna bora hata yangekuwa ni.maswali ya technical skills .....and hili swala sio mimi tu watu kibao wanakukalalamikiaa,una maswali ya kimama saana we mkaka
.
.alafu anajikuutaga alistair ni ya kwao while naye kaajiriwa kama watu wengine wenye kampuni wapo fair na wanaongea vizuri ila ww mkaka nilitamni kukutemea makohozi shame on you ....kampuni ya mzungu sio ya kwenu!
Pole sana....
 
lol wasio na kazi utawajuaa tu baba pambana na dhiki zako

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww ndio maana jamaangu Elvis Peter Kashaija kakutema utakuwa una matatizo waajiri wanasoma Psychology ya mtu .Muhaya yule ana akili nyingi sana harafu ni mtu poa ,mtu peace ,mtu wa watu yule mm nimesoma naye MBA ( Frankfurt-Germany) yeye ndio Head of Talent Development pale akiongea yeye wengine wote wanafyata mikia,maneno mengi mpk unampkazia mtoto wa watu uchawi na ww si ukaroge huone km utampata.

Ww haujapata kazi unatukana ma HR mitandaoni je ,ukiacha kazi si ndio utawanyea kabisa.Unawaponda wasio na kazi kwani walipenda??Wewe uliye na kazi Alistair Group ulifuata nini kama sio genywe zinakuwasha.??Umekosa malezi bora ngazi ya familia.Ebu tuache watu tunawaza Serikali ya viwanda ww unaleta upuuzi hapa JF next time lete uzi constructive ambazo utasaidia Taifa sio huu ushuzi.

Unatukana mamba bado haujavuka mto akili hauna kabisa wee,kampuni yangu siwezi ajiri kichaa kama ww.Nyinyi ndio wale mnaodanga kwa ma lecturers mpate GPA za mezani ,ss mpaka kwny interview unalegeza legeza macho kwa HR watu wanafuata protocol za kazi zao.
 
kacheze unapochezaga balehe inakusumbuaa ww mxiewwww

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nina mke na watoto wa kike wakubwa zaidi ya wewe paka mweusi wee.

Jamii Forum ni ya watu makini lakini kuna watu mnataka kuigeuza Dangulo,sehemu ya Kudangia madanga hapa mnakashifu watu na brand za kampuni za watu.

Do you know how much it cost to build a brand like Alistair???
 
fung bkuli lako na usome uelewe aptitude test nilipata over 70 nikafanya oral nikapita thn nikaenda kwenye int ya face to face ndo nikakutana na huyo mshenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiskia over 70 ujue haikufika 80, too stupid for a person. Watu tushafanya interview pass mark over 90 we unaongelea over 70. Afu nishajua we ni mdada I don't expect much from you.
 
Tunambishia sister wa watu bure,wameshajitokeza watu wawili watatu waliokumbwa na hiyo kadhia ya huyu Presley wa kihaya na kampuni yao.Haina haja ya kujua hayo maswali,ushajua kuwa ukienda pale kuna huyo bwana kama vipi ukifika mbele yake ukajibu maswali vizuri na ukaona kaanza hayo maswali ya ki "mama" unamruhusu mawili tu ukijibu akiendelea.Its time to remain a respectable human being, unamwambia tu "you are asking irrational questions to a professional something that implies you are dumb and stupid, good day".Unaosha yeye ndio abaki na wewe kichwani mwake. Kazi utapata na utaishi tu kabla ya pale haukula wala kulala kwake.Tusiwe waoga Boss ni Boss wa kazi sio Boss wa maisha yako, unamchana akileta uduanzi "tusiingiliane katika masula binafsi"😅😅😅
 
Usitetee ujinga dada ana matatizo
Ukiskia over 70 ujue haikufika 80, too stupid for a person. Watu tushafanya interview pass mark over 90 we unaongelea over 70. Afu nishajua we ni mdada I don't expect much from you.
Jinga sana hilo dada mm nimefanya interview watu 400,Amplitude nikapga
98 .5 aliyenifuata akawa na 72.Ikapigwa Oral interview nikawagalagaza wrote .wakaniuliza unataka mshahara bei gani nikawaambie usipungue 2.5 M wakasema hatuwezi kukulipa hiyo ni Pesa nyingi nikawaambia below hapo sitoweza kufanya kazi nanyi wakala chocholo waajiri wote.
Yeye 70 Marks anapiga kelele.
 
UPDATE: Jaman nimekuwa busy mpkaa nimeshindwa kuwa update kuhusiana na huyu nyauba ALIVYO FUKUZWA KAZi tangu last yearMungu huwa anatenda na kujibu kwa wakati, huyu kisabengo mwenye roho nyeusi kama kuku wa dawa hatimaye alikuja kufukuzwa Alistair mind you sio alirisign hell no bt he was kicked out of office bila hata huruma yaan

rangi nyeupe sio ya kuishobokea jaman siku ikikukataa inakuktaaa kama haijawah kuonana na ww wala kukufahamu kiko wapi sasa

sasa hivi yupo kwenye kiofisi uchwara cha usafirishaji maeneo ya kurasini na ana adabu kama zote chezeaa wewe na mastar zake za njee nyambafu

Asantee Mungu kwa kujibu maaombi yangu

Hahahahha n bado nina wewe
baada ya kumuumbuaa Elvis Peter kuwa anatesa wenzie esp watanzania wanapoenda kwenye interview pale #Alistar so today kaamuaa kuja na fake account kuja kujiteteaa kwa kujidai yeye ni rafiki wa Alvis mfyuuuuu utakufa na roho mbaya yako hiyo sio kampuni ya baba ako hiyo ni kampuni ya #James na wazungu sio ndugu zako kazi zinatangazwa miaka 3 hapatikan mtu ina maana sisi wabongo tuna ukilaza wa aina gani?? ndo maana mpka wenzio hawakupendi na hilo piaa mkalijadili hapo ofisini kwenu kama ukivyofanyaa mwanzoni

alichonijibu kwa fake account

TheDreamer Thebeliever, post: 34586516, member: 478135"]Ww ndio maana jamaangu Elvis Peter Kashaija kakutema utakuwa una matatizo waajiri wanasoma Psychology ya mtu .Muhaya yule ana akili nyingi sana harafu ni mtu poa ,mtu peace ,mtu wa watu yule mm nimesoma naye MBA ( Frankfurt-Germany) yeye ndio Head of Talent Development pale akiongea yeye wengine wote wanafyata mikia,maneno mengi mpk unampkazia mtoto wa watu uchawi na ww si ukaroge huone km utampata.

Ww haujapata kazi unatukana ma HR mitandaoni je ,ukiacha kazi si ndio utawanyea kabisa.Unawaponda wasio na kazi kwani walipenda??Wewe uliye na kazi Alistair Group ulifuata nini kama sio genywe zinakuwasha.??Umekosa malezi bora ngazi ya familia.Ebu tuache watu tunawaza Serikali ya viwanda ww unaleta upuuzi hapa JF next time lete uzi constructive ambazo utasaidia Taifa sio huu ushuzi.

Unatukana mamba bado haujavuka mto akili hauna kabisa wee,kampuni yangu siwezi ajiri kichaa kama ww.Nyinyi ndio wale mnaodanga kwa ma lecturers mpate GPA za mezani ,ss mpaka kwny interview unalegeza legeza macho kwa HR watu wanafuata protocol za kazi zao.[/QUOTE]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom