Elvis Peter HR Assistant wa Alistair Group (Kurasini) acha roho mbaya

Status
Not open for further replies.

Mambembe

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
2,215
2,958
Aise! Sijapata kuona mkaka ana roho mbya kama huyu daaah just imagine mtu unafanyishwa intervieww ngumu for 40 min maswali magumu haijapata kutokeaa unapass,

Second interview inakuwa ya skype unafanyiwa na wahindi jaman wanaukiza maswali vizuri saaana yaan wako vizuri mpka unaenjoy

Inteview ya mwisho ndo face to face with hiring manager ndo unakutana na huyo bazazi Elvis mkaka ana majivuno, ana maswali ya dharau, imagine hakuulizi swali lolote linalolohusina na interview hata kwenye job description hamna bora hata yangekuwa ni.maswali ya technical skills and hili swala sio mimi tu watu kibao wanakukalalamikiaa,una maswali ya kimama saana we mkaka

Halafu anajikuutaga alistair ni ya kwao while naye kaajiriwa kama watu wengine wenye kampuni wapo fair na wanaongea vizuri ila ww mkaka nilitamni kukutemea makohozi shame on you.

Kampuni ya mzungu sio ya kwenu!
 
Huwez nielewaaa ndugu...... Tulikuwa watu 10 na watoe tulipass over 70 mahesabu yao magumu saana na interview yake haizid dk 2 mtu kashatoka na wote kumi tuliopitishwa na hr manager hamna aliyepata .....like seriously??
Eti maswali ya kimama hayo yakibaba yapi unayotaka?
Unamtaka mwenzako nini?
Tulia wewe kazi ni kazi tuu
 
Aisee sijapata kuona mkaka ana roho mbya kama huyu daaah just imagine mtu unafanyishwa intervieww ngumu for 40min maswali magumu haijapata kutokeaa unapass,

.
.second interview inakuwa ya skype unafanyiwa na wahindi jaman wanaukiza maswali vizuri saaana yaan wako vizuri mpka unaenjoy

Inteview ya mwisho ndo face to face with hiring manager ndo unakutana na huyo bazazi Elvis mkaka ana majivuno,ana maswali ya dharau,imagine hakuulizi swali lolote linalolohusina na interview hata kwenye job description hamna bora hata yangekuwa ni.maswali ya technical skills .....and hili swala sio mimi tu watu kibao wanakukalalamikiaa,una maswali ya kimama saana we mkaka
.
.alafu anajikuutaga alistair ni ya kwao while naye kaajiriwa kama watu wengine wenye kampuni wapo fair na wanaongea vizuri ila ww mkaka nilitamni kukutemea makohozi shame on you ....kampuni ya mzungu sio ya kwenu!
Mhaya ana shider sana huyu...! Nasikia analoga mbaya.. Hao wamarekani wa Alistair wemelogwa mpaka hawakumbuki kurudi kwao...

Kuna siku nimeenda kwa interview ya HR, katika maelezo yangu nikasema nimesoma UDSM, kwa dharau anauliza "KWANI UDSM KWA HR KWELI".. Nikamuuliza wewe umesoma wapi? duwanzi sana
 
hebu weka hapa hayo maswali tuyaone kama jamaa yuko fair au la hasha.
 
Nashukuru mkuu jaman huyu kaka anajikuta yeye ndo yeye ana dharau haijaoata tokeaa khaaa aliniboaa saanaa

Back
Top Bottom