Elvis Peter HR Assistant wa Alistair Group (Kurasini) acha roho mbaya

Status
Not open for further replies.
imagine kazi inatangwazwa 3yrs ina maana tz hatuna wasomi kweli??


Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna kazi zingine zinahitaji skills za ziada ambazo hazifundishwi shuleni. Hasa zile kazi za technical..
Hata balozi za mataifa makubwa.. wanatangazaga kazi wanakosa watu wenye hizo skills wanazohitaji.. wanaajiri hadi wageni sometimes..
 
Big up MR Elvis PETER kashaija ndivyo,,, hizi uzi za majungu sizipendi,, wewe ni mwanaume mfate mchane malagueña basi,, unakuja huku kutulilia sisi tukusaidie nini sasa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimeandika nimefuta......... Nimeandika nimefuta.........Nimeandika nimefuta.......Nimeandika nimefuta, Nimeandika nimefuta,

Nimeona bora ni login Bet pawa niendelee kubet.
 
kanajikuta kenyeewe ndo kamiliki ka kampuni kumbe hana lolote


Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani lazima uajiriwe hapo mbona unalilia sana,,, maisha popote na unatusua tu. Kuna tajir wa dunia alipigwa chini interview karibia 40 na akaja kutusua itakuwa wewe na kupoteza muda na mtu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mm nina mke na watoto wa kike wakubwa zaidi ya wewe paka mweusi wee.

Jamii Forum ni ya watu makini lakini kuna watu mnataka kuigeuza Dangulo,sehemu ya Kudangia madanga hapa mnakashifu watu na brand za kampuni za watu.

Do you know how much it cost to build a brand like Alistair???
Huu ndio ujinga mlionao huko kwenye sehemu ya haja! Kama wamezingua hiyo brand inatuhusu nn?? Kama wamejenga brand basi nao wanatakiwa kuiheshimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitetee ujinga dada ana matatizo

Jinga sana hilo dada mm nimefanya interview watu 400,Amplitude nikapga
98 .5 aliyenifuata akawa na 72.Ikapigwa Oral interview nikawagalagaza wrote .wakaniuliza unataka mshahara bei gani nikawaambie usipungue 2.5 M wakasema hatuwezi kukulipa hiyo ni Pesa nyingi nikawaambia below hapo sitoweza kufanya kazi nanyi wakala chocholo waajiri wote.
Yeye 70 Marks anapiga kelele.
We jamaa kama ni mwanaume basi utakuwa unapumuliwa, kupata 98.5 na yeye kupata 70 inategemea na aina ya mtihani! Sasa kama hiyo test yako ulikuwa unaulizwa shilole anakaa wapi, kwa nn usipate 98.5??? Na wewe lete maswali tuone ka yalikuwa magumu, pambaaaf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JF mme anza taarabu lini??
Usitetee ujinga dada ana matatizo

Jinga sana hilo dada mm nimefanya interview watu 400,Amplitude nikapga
98 .5 aliyenifuata akawa na 72.Ikapigwa Oral interview nikawagalagaza wrote .wakaniuliza unataka mshahara bei gani nikawaambie usipungue 2.5 M wakasema hatuwezi kukulipa hiyo ni Pesa nyingi nikawaambia below hapo sitoweza kufanya kazi nanyi wakala chocholo waajiri wote.
Yeye 70 Marks anapiga kelele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona Kazi inatangazwa hadi mara tatu tatu na haipati mtu, hapo Tatizo ni kwa recruiters na sio applicants. Staffs wanaajiliwa based on attitude na how competent they are, skills zinafundishwa. Sio rahisi kupata candidate ambaye ni perfect match na requirements za company unless wafanye hunting. Ila kwa Kazi hizi za kutangaza wapambane tu. Alafu alistairs si ni kampuni ya usafirishaji tu mbna wanajikuta sana??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAOMBA KUIONA IYO NAFASI NIONE KAMA NTAIKOSA.KAMA NI MCHAWI NTAJUA MAANA MIMI NATUMIA UCHAWI WA KIZUNGU SIYO MAJIVU YA KUSINI.HUYU MTU MBONA MNAMUOGOPA SANA.NINA UZOEFU USIOKUWA NA MASHAKA NIPE CONNECTION DADA UONE.
 
Ukiona Kazi inatangazwa hadi mara tatu tatu na haipati mtu, hapo Tatizo ni kwa recruiters na sio applicants. Staffs wanaajiliwa based on attitude na how competent they are, skills zinafundishwa. Sio rahisi kupata candidate ambaye ni perfect match na requirements za company unless wafanye hunting. Ila kwa Kazi hizi za kutangaza wapambane tu. Alafu alistairs si ni kampuni ya usafirishaji tu mbna wanajikuta sana??

Sent using Jamii Forums mobile app

wala wenye kampuni hata hawana shida ila huyo kidudu mtu ndo tatizo nilifanyiwa interview ya skype na wahindi na nilipita zote ila hiyo yake ya mwisho ndo akatufanyia roho mbayaa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa jinsi ulivyo na mdomo mchafu hivi,huyo Elvis nadhani amekutendea haki kabisa.
 
Ukiona mlango wa kuajiriwa umefungwa...fungua mlango mwingine wa kujiajiri,ndio mlango salama kuliko milango yote
 
Mind you first interview haikuwa conducted na yeye wala second ....ni wahindi na wazungu ya mwisho ndo yeye na bad enough siku ya face to face alikuwepo yy mwenyewe weingine wakikuwa na dharura
Unaweza sema alikuwa mwenyewe kumbe Kuna wengine walikuwa wanafuatilia through camera.Kuhusu jamaa kuuliza maswali ya ovyo na majivuno alikuwa pengine anapima emotional zenu.Huyo jamaa huenda yupo vizuri ndio maana naye kaaminiwa
 
Mi hata silijui ndo mara ya kwanza kumuonaa....na siku hiyo tulikwa wasichana watatu visu haswaaaaaa.......lakin hamna akiyekuwa na tym naye nikichofata pale ni interview
Weka picha yako tukuone ulivyo kisu haswaaaaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom