Elvis Peter HR Assistant wa Alistair Group (Kurasini) acha roho mbaya

Status
Not open for further replies.
Hahahahha n bado nina wewe
baada ya kumuumbuaa Elvis Peter kuwa anatesa wenzie esp watanzania wanapoenda kwenye interview pale #Alistar so today kaamuaa kuja na fake account kuja kujiteteaa kwa kujidai yeye ni rafiki wa Alvis mfyuuuuu utakufa na roho mbaya yako hiyo sio kampuni ya baba ako hiyo ni kampuni ya #James na wazungu sio ndugu zako kazi zinatangazwa miaka 3 hapatikan mtu ina maana sisi wabongo tuna ukilaza wa aina gani?? ndo maana mpka wenzio hawakupendi na hilo piaa mkalijadili hapo ofisini kwenu kama ukivyofanyaa mwanzoni

alichonijibu kwa fake account

TheDreamer Thebeliever, post: 34586516, member: 478135"]Ww ndio maana jamaangu Elvis Peter Kashaija kakutema utakuwa una matatizo waajiri wanasoma Psychology ya mtu .Muhaya yule ana akili nyingi sana harafu ni mtu poa ,mtu peace ,mtu wa watu yule mm nimesoma naye MBA ( Frankfurt-Germany) yeye ndio Head of Talent Development pale akiongea yeye wengine wote wanafyata mikia,maneno mengi mpk unampkazia mtoto wa watu uchawi na ww si ukaroge huone km utampata.

Ww haujapata kazi unatukana ma HR mitandaoni je ,ukiacha kazi si ndio utawanyea kabisa.Unawaponda wasio na kazi kwani walipenda??Wewe uliye na kazi Alistair Group ulifuata nini kama sio genywe zinakuwasha.??Umekosa malezi bora ngazi ya familia.Ebu tuache watu tunawaza Serikali ya viwanda ww unaleta upuuzi hapa JF next time lete uzi constructive ambazo utasaidia Taifa sio huu ushuzi.

Unatukana mamba bado haujavuka mto akili hauna kabisa wee,kampuni yangu siwezi ajiri kichaa kama ww.Nyinyi ndio wale mnaodanga kwa ma lecturers mpate GPA za mezani ,ss mpaka kwny interview unalegeza legeza macho kwa HR watu wanafuata protocol za kazi zao.[/QUOTE]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitetee ujinga dada ana matatizo

Jinga sana hilo dada mm nimefanya interview watu 400,Amplitude nikapga
98 .5 aliyenifuata akawa na 72.Ikapigwa Oral interview nikawagalagaza wrote .wakaniuliza unataka mshahara bei gani nikawaambie usipungue 2.5 M wakasema hatuwezi kukulipa hiyo ni Pesa nyingi nikawaambia below hapo sitoweza kufanya kazi nanyi wakala chocholo waajiri wote.
Yeye 70 Marks anapiga kelele.

mbwa ww eti ntaka mshaharabwa 2m na usheee haloooo endeleaa kujitapaa uso haya wala kujuaa vibya ww mshenzi wa tabiaaa utabaki hivyo hivyo na roho yako ya kwann na kampuni inahamishwaa sijui utakimbiliaa wap mjalaaana ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitetee ujinga dada ana matatizo

Jinga sana hilo dada mm nimefanya interview watu 400,Amplitude nikapga
98 .5 aliyenifuata akawa na 72.Ikapigwa Oral interview nikawagalagaza wrote .wakaniuliza unataka mshahara bei gani nikawaambie usipungue 2.5 M wakasema hatuwezi kukulipa hiyo ni Pesa nyingi nikawaambia below hapo sitoweza kufanya kazi nanyi wakala chocholo waajiri wote.
Yeye 70 Marks anapiga kelele.
Kitu gani labda kinafanya huyo dada kuwa mjinga;70 marks?Kulalamikia hilo suala la HR?
Je kama aliulizwa maswali yasiyo na msingi,si vyema kulalamika?
Case yako ya watu mia nne ni tofauti kabisa na yake, na haukukosa kazi ulikataa mshahara.
Ninachoshangaa tu ni namna anavyoshambuliwa kwa kitu alicho experience mwenyewe.
 
Hakupaswa kuwachafulia watu na kampuni jina kwa ujinga wake wa kushindwa interview,do you know how much watu /kampuni ina wa cost kujibrand au kubrand kampuni km Alistair? usimtete baada ya mm kuidentify mleta uzi km ni mdada kama una mtetea unapaswa Ku declare interest kwanza hapa hapa JF wadau wajue harafu ndio mjadala uendelee. :cool: :cool: :cool: :cool: :cool: :cool:
 
Kitu gani labda kinafanya huyo dada kuwa mjinga;70 marks?Kulalamikia hilo suala la HR?
Je kama aliulizwa maswali yasiyo na msingi,si vyema kulalamika?
Case yako ya watu mia nne ni tofauti kabisa na yake, na haukukosa kazi ulikataa mshahara.
Ninachoshangaa tu ni namna anavyoshambuliwa kwa kitu alicho experience mwenyewe.

atakuwa ndo yeyey anajikoshaa nilioata over 70 ambayo ndo inakufanya uende kwenye skype interview nikafanyiwa na mdada anaitwa pranshasa huyu dada anajuaa namna ya kufanya kazi yake niliulizwa maswali kwa bahati nzuri nikapita after two days ndo nikaenda kukutanana huyo baradhuli kwenye last stage ya face to face guess wote kati ya wote tuliokuwepo pale haikuzid dk tano tishamaliza interview kwa maswali yake ya kijingaaa pumbavu zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vi HR vina umama sana . Uliza swali Konki akijibu mpe dole ajue anafanya poa.

Sio swali a auliza eti kitu gani unapenda fanya kila siku.. unataka nikujibu nini kama sio kukojoa...haaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo post itakua ina mshahara mkubwa kuliko yeye.
Aisee sijapata kuona mkaka ana roho mbya kama huyu daaah just imagine mtu unafanyishwa intervieww ngumu for 40min maswali magumu haijapata kutokeaa unapass,

.
.second interview inakuwa ya skype unafanyiwa na wahindi jaman wanaukiza maswali vizuri saaana yaan wako vizuri mpka unaenjoy

Inteview ya mwisho ndo face to face with hiring manager ndo unakutana na huyo bazazi Elvis mkaka ana majivuno,ana maswali ya dharau,imagine hakuulizi swali lolote linalolohusina na interview hata kwenye job description hamna bora hata yangekuwa ni.maswali ya technical skills .....and hili swala sio mimi tu watu kibao wanakukalalamikiaa,una maswali ya kimama saana we mkaka
.
.alafu anajikuutaga alistair ni ya kwao while naye kaajiriwa kama watu wengine wenye kampuni wapo fair na wanaongea vizuri ila ww mkaka nilitamni kukutemea makohozi shame on you ....kampuni ya mzungu sio ya kwenu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MR ELVIS PETER KASHAIJA big up sana tena wanyooshe hakuna naomba,,, wewe si mwanaume mfate mwanaume mwenzio umchane live unakuja uku na taarabu tukusaidie nini sasa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom