Elvis A. Musiba afariki dunia!

Poleni Wanafamilia, Ndugu Jamaa na Marafiki. Mungu Amlaze mahali Pema peponi.
Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa Jina la Bwana Lihimidiwe.
 
Huu ni msiba mkubwa sana... Nimemfahamu huyu baba tangu 1981... nikiwa primary, nakumbuka saana vitabu vyake, alikua mtu wa watu sana

mjasiriamali mzuri sana na alijitahidi kuendeleza wanae kufikia lengo la kielimu

Mungu ampe yanayostahili
 
Jamani....hata siamini wapendwa ah kweli kazi ya MUNGU haina makosa......nilikuwaga nampicture kama ndie Willy Gamba wa kweli kwelii masikini. Poleni wafiwa
 
RIP Elvis

He will also be missed by Ardhi University where he was serving as Deputy Chairperson of the University Council.

Tuzidi kumwombea apate mapumziko ya heri katika umilele
 
Cant imagine such a big loss, He was a man of the people, a real gentleman
 
Alikuwa ni symbol ya ujasiriamali Tanzania.siamini jamani lol!kumbe kila kiumbe kitaonja mauti!
 
What a sad news !!!! Kwa kweli huu ni msiba mkubwa sana kwa taifa, hawa kwa wasoma novels za kiswahili (Will Gamba). Katika kipindi hichi ambacho uandishi wa riwaya za kiswahili unazidi kuwa bidhaa adimu, na nchi inaongozwa na viongozi ambao hawawezi hata kuandika biography zao, achilia mbali kusoma vitabu vya wenzao, kwa kweli ni hasara kubwa sana.
Pole sana kwa familia ya marehemu. M/Mungu amuweke mahali pema peponi.
 
adieu comrade,
Ulikuwa mwandishi mahiri, mjasiriamali na kiongozi wa jamii.
R.I.P Elvis.
 
nikiwa std one 1982 kaka yangu aliyekuwa darasa la nne wakati ule alikuwa kamaliza vitabu vyote vyote hivyo vya elvis musiba. na mie nilivisoma vyote na kuvimaliza mpaka mwaka 1989. imeniuma sana lkn ni kazi ya mola haina makosa. RIP E. MUSIBA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom