Elvis A. Musiba afariki dunia!

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809
6930678.jpg


Nimepokea taarifa zinazosema kuwa,

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa "Tanzania Chamber of Commerce, Industry & Agriculture" (TCCIA) Bwana ELVIS A. MUSIBA amefariki dunia alfajiri ya leo.

Habari za mipango ya mazishi zitafuata mara tu baada ya kupatikana.

Kwa watu walioko London, mnakaribishwa kwa binti yake, Lisa Musiba, anwani ni:

6 MANTON Rd
ENFIELD
MIDDLESEX
LONDON,
EN3 6XZ

Mobile: 07949737185

Pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na wale wote mliofikwa na msiba huu.

Roho ya Marehemu Elvis A. Musiba ipumzike pema.

AMIN.



source: http://www.wavuti.com/
 
Alikuwa mgonjwa? Poleni sawa wafiwa. Roho yake ipate mapumziko ya amani milele. RIP
 
May the Almighty God Rest your Soul in Eternal Peace. Amen. Poleni familia.
 

R I P Elvis ...

...will always remember the books

...my favorate... Kufa na kupona!

Poleni sana ndugu , jamaa na marafiki!
 
Alikuwa mgonjwa? Poleni sawa wafiwa. Roho yake ipate mapumziko ya amani milele. RIP

yah alikuwa mgonjwa na ndani ya wiki mbili tatu zilizopita alikuwa serious sick

RIP E Musiba, utakumbukwa kwa uzalendo wako na kwa wale wapenzi wa riwaya wa zamani watakukumbuka sana katikavitabu vyako
1 KIKOSI CHA KISASI (KK)
2 KUFA NA KUPONA
3 HOFU
4 KIKOMO
5 HUJUMA
 
RIP.

Nakumbuka sana vitabu vyake vya Kufa na Kupona; Njama; Kikosi Cha Kisasi nk. Alikuwa pia ni Mwandishi Mzuri.
 
Too hard to swallow!
Imekuwaje ghafla hivi?
Jina la Bwana libarikiwe!

Kafariki akiwa amelazwa hospitalini, hakufa ghafla nyumbani; kwa maana hiyo alikuwa na tatizo la kiafya / mgonjwa. RIP Musiba, we will miss you.
 
Rest in peache Brother.... we are on the way coming. Pray for our Election if you can.
 
Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe! Poleni wafiwa, pole bwa'mdogo (Musiba Junior), wa Channel Ten na Magic FM!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom