Elton john aolewa rasmi:picha


Naomba uwaelimishe wote wanaotumia mdomo kunyonyana nyeti zao.
 

shauri zake jf kichaka itajamkost
 
Last edited by a moderator:
Hilo swali gumu sana, wenyewe wameliona ila wanakausha tu,

Kumbe ndio mana hawa mapadre naskia hawaoi hawa basi itakuwa ni mchezo ambao upo ndani ya dini yao na umeanza miaka mingi mno ila ndio wameamua kuuweka bayana hawaoi kumbe wanatoboana wenyewe kwa wenyewe MUNGU awalaani na awachome kwenye MOTO khaalidina fiyhaa abadan.
 
Viumbe wana moyo kweli kweli yaani baadala ya kula tunda tamu la mzaituni anakwenda kuchokonnyoa chemba za kinyesi toba atustir kizazi hiki na kijacho tena cha kusikitika na kuhuzunika ni ndoa hiyo imefanyika ndani ya kanisa takatifu la yesu astafillah
 

Hapo kwenye red, unamaanisha tu-change kusapoti hii kitu? Sio mimi, piga, ua, garagaza, leta majeshi sisapoti huu ufuska. Ni mtazamo wangu!
 
jaman msikashifu dini za wenzenu hata km kuna makosa km ww muislamu Allah anasema usikashifu au kutukana dini za wenzenu na wao watamtukana kwasababu wao ni watu wasioelewa?mumeeelewa?sasa ukikashifu dini ya mwenzako unadhani ndo njia sahihi ya kumvuta kwny dini yako au ndo utaanzisha matusi?tuwe waastaarabu kdg wakuu wenyew pia hawajapenda hayo
 
ukikashifu au kutukana dini ya mtu na yy akarudisha mapigo dhambi zote unazibeba ww za kutukanwa dini yako ujue hilo so hujajenga umebomoa!
 
hata hvo mada haijaleta mambo ya kanisa wala mapadre wala manabii wao wala nani mada ni huyo shoga kuolewa mungu amlaaani mpk siku atakapomtia motoni
 
Baaada ya takriban miaka 21,hatimaye gwiji la muziki wa ''pop'' ''Sir'' Elton John amefunga ndoa na mpenzi wake David Furnish.haya ukistaajabu ya musa....

Mtoto sio Rizki huyu Tajiri wa Uingereza Elton John amesha kuwa mzee bado analiwa tope? Hizi ndizo Demokrasia za Watu Weupe kuliwa tope kazi kweli ipo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…