Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,122
- 111,802
๐ actor yupoHizi AI wawe nazo makini isije yakatukuta ya kwenye movie
๐ actor yupoHizi AI wawe nazo makini isije yakatukuta ya kwenye movie
Bernard ndo nan ndo mara ya kwanza namsikiaJamaa na mkubali sana japo mtu mwenye mpunga mrefu zaidi ni Bernard tajiri wa uko France..
Nina hofu huenda hvi vitu vikawa na madhara hapo baadaeIla huyu jamaa ana IQ kubwa sana.
Niliwahi kuhofia hilo pia, huenda baadae kukaibuka vita baridi kati ya robots na human.Nina hofu huenda hvi vitu vikawa na madhara hapo baadae
Aisee itakuwa ni hatari mno ikifikha hvyoNiliwahi kuhofia hilo pia, huenda baadae kukaibuka vita baridi kati ya robots na human.
Hatari sana ila tutawazidi mbinu si tumevidelop wanadam.Aisee itakuwa ni hatari mno ikifikha hvyo
Kwakifupi hatakuwa mtu tenaMtu akipandikizwa hiyo anaweza kuongea lugha yoyote ile ,sasa mtu akiwa na mfumo huo anaweza kutafuta material kama computer.
Mtu huyo akiingia kweny chumba cha mtihani itakuwaje!?Kiufupi hata mitihani haitakuwa ishu tena
Bernard ArnaultBernard ndo nan ndo mara ya kwanza namsikia
Anafanya biashara gani?Ni namba 2 kwa sasa
Namba 1 ni Benard Anault