Watakuwa wanamshangaa huyo Mama!Polepole na katibu mkuu wa CCM hapo vipi?
Trump atapeta kiulainiii!
Ni ngumu kumshinda Trump by 2020, ndiyo maana naona Democrat wakiweka mgombea mwenye mizizi ndani ya jamii ya Kimarekani na mtu huyo kwasasa ni Joe Biden.Trump atapeta kiulainiii!
Biden atajaribu lakini sio kushinda!Ni ngumu kumshinda Trump by 2020, ndiyo maana naona Democrat wakiweka mgombea mwenye mizizi ndani ya jamii ya Kimarekani na mtu huyo kwasasa ni Joe Biden.
Sent using Jamii Forums mobile app
Polepole na katibu mkuu wa CCM hapo vipi?
Warren angeitwa kujieleza kwa Bashiru kwa mikwara kibao na vitisho vya kufutiwa uanachama.Polepole na katibu mkuu wa CCM hapo vipi?
Atakuwa kama bushKadri siku zinavyoenda ndo nazidi kuhisi kuwa huenda Trump akawa one-term president, lakini si kwa nchi kuwa na uchumi mbaya.
La hasha. Ni kutokana na tabia yake hususan huko Twitter.
Leo/ jana kimsingi kamtukana Gen. Stanley McChrystal kwa kusema ana ‘big, dumb mouth’.
Now, I think such language is beneath presidential dignity.
At some point his jig is gonna be up. And that could very well be in the 2020 general election.
But, I always like to remind everyone that the rules of political gravity, thus far, haven’t applied to Trump.
So, only time will tell.