Lakini kama ameshatuahidi watazamaji kuwa hataingia kwenye mahusiano akiingia tutamuona anakigeugeu. Alafu jambo la pili huwezi kujua upepo unaendaje nje, sio sawa na Bongo Star Search kwani unakuwa unaona Hadhira (wapiga kura wanataka nini), BBA ukishaingia ndani ya nyumba huoni nje wanataka nini, kwahiyo unatakiwa kuingia tayari na strategy.
Hmmm...really?
Mbogela,
Huyu binti kama sikosei alikuwa anaendesha kipindi ch VUNAVUNA TIME kilichokuwa kinarushwa TBC1 (correct me if am wrong)
hivi huyo aliyekuwa nyuma ya hao wakina Gupta mwenye gauni la "brown" au kijani kikavu yeye aliishia wapi, maana naona ana haiba yenye mvutoYuko fine,more dataz plz....Halfu Gupta ni mix ya indian ama?Je una maana anaiwakilisha kanda ya ziwa kwenye mashindano?kama hivyo tunaomba more dataz kama height nk...Ila yuko fine kwa mwonekano wa picha hii.
Wasiwasi wangu nae asije akawa soya,kwani ninavyowafahamu waTZ kwa ngono wamerogwa!Acha tuone yetu mimacho tuuuLatoya aliwafedhehesha sana waTanzania mpaka kuitwa maharage ya Mbeya, kwa hiyo Elizabeth ameona Bora Lawama Kuliko Fedheha, kitu ambacho nadhani watanzania wengi watakikubali lakini kinaweza kisimfikishe mbali.
MhindisukumaHmmm...really?
MASUDI KIPanya alichemsha kutomchagua,aliwahi kwenda kwenye maisha plus,now yuko big brother,
Sijajua nini hasa kinajadiliwa hapa, charming katika picha? Kila mpiga picha humwambia mpigwaji, tabasamu au sema juice!!
Bongo nje ya mipaka wanatawala machotara. Wana xposure. Si tulie tu
Nakuona mkuu Mbogela ndani ya kampeni nzito! Safi, full uzalendo au sio?
Ila binti kasababisha wanangu walie hapa wakati akijieleza, I couldn't take it... Niliwakwepa nikawaacha walie nikiwa sipo