elizabeth dominic njo kwangu nikupe

Baba V,
hakuna tena kamati Erickb52 alimtorosha bibi harusi mtarajiwa wa
my ex husband Kashangaki, tokea hapo hajaonekana tena hapa town
wanasema kajichimbia huko mererani.

Unda kamati nyingine.

Tutakutana kwenye kamati wakati wa screening. Mamdenyi na Erickb52 mnaona hayo!?
 
Poor mkiva he is either in love kiukwelii or he thinks he is in love, ila hajui kumwin mdada wa watu.

Punguza mapepe, jiamini ungeanza salam tu na Mazoea (PM preferably na baadaye Simu); mengine yangejipa baadaye baada ya kufahamiana.

Anyway, vitu vingine havifundishiki!
 
Last edited by a moderator:

Back
Top Bottom