Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 29,967
- 32,265
Hahahahaha kumbe tumeona weng
Niambie basi ukauzu wangu uko wapi?
Hahahahaha kumbe tumeona weng
Hahah Kaunga, umeona uirudie kutilia msisitizo!
eniwei, ajaribu kwingine tena maana hapo kwa Elizabeth Dominic najua pashawahiwa na wajanja!!!!
Niambie basi ukauzu wangu uko wapi?
Oasubiri mwenyewe aje athibitishe
Hahah Kaunga, umeona uirudie kutilia msisitizo!
eniwei, ajaribu kwingine tena maana hapo kwa Elizabeth Dominic najua pashawahiwa na wajanja!!!!
Kha, we manyoya huyaoni!??
huangalii mtu usoni halafu unacoment bila kutafuna maneno kama mtu ana roho ndogo hawezi kuvumilia maneno yako makali mdada mzuri na mtamu wewe.Hebu niambie mtoto mzuri,
Ukauzu wangu uko wapi?
Wajanja gani?
I'm confused.............
huangalii mtu usoni halafu unacoment bila kutafuna maneno kama mtu ana roho ndogo hawezi kuvumilia maneno yako makali mdada mzuri na mtamu wewe.
mImI...
don't b av cmplified t fur u...
Not in that way..am just holding u for a better person!
Hahah Kaunga, umeona uirudie kutilia msisitizo!
eniwei, ajaribu kwingine tena maana hapo kwa Elizabeth Dominic najua pashawahiwa na wajanja!!!!
Poor mkiva he is either in love kiukwelii or he thinks he is in love, ila hajui kumwin mdada wa watu.
Punguza mapepe, jiamini ungeanza salam tu na Mazoea (PM preferably na baadaye Simu); mengine yangejipa baadaye baada ya kufahamiana.
Anyway, vitu vingine havifundishiki!