elizabeth dominic njo kwangu nikupe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

elizabeth dominic njo kwangu nikupe

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mshana org, Sep 18, 2012.

 1. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  nakupenda wewe malaika wa roho yangu nimeshindwa vumilia mateyo ya moyo wangu juuyako nimeamua kuweka mambo wazi.kwamba ujue nakupenda.nitakupa utakacho yakiwemo mapenz motomoto sitotaka uteseke kwahali yoyote.naomba naomba niokoe kwenye baridi kali nakupenda kwa moyo wangu wote.nimemtuma njiwa wangu ujumbe kuufikisha mpokee kwa ukarimu na upendo kumpa
   

  Attached Files:

 2. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  1. Punguza Povu ndipo umwage yaliyo moyoni.
  2. Pesa ndo mpango mzima,mengine swaga tu.
   
 3. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  je, mkiva atauweza atauweza mziki wa mtoto wa kutoka maeneo ya wazito, mtoto wa kishua Elizabeth Dominic sio wa chips vumbi, kazoea pizzerria, goldcrest....
  mapenzi hata sisi tunaweza kumpa, what additional feauture do u have? sio porojo mingi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Sio kwamba nina povu siunajua tena kupenda alafu maswala ya hela sio shida ningekua sina nisingehtaji ndoa japo sio nying kivile ila najua zitamtosha mrembo huyu kujidai na kutokosa kile atakachotamani kua nacho
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Tutakutana kwenye kamati wakati wa screening. Mamdenyi na Erickb52 mnaona hayo!?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Tutakutana kwenye kamati wakati wa screening. Mamdenyi na Erickb52 mnaona hayo!?jiandaeni
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Hayo mambo ya kawaida MENTION C6 MENTION elizabeth namjua vizuri naamini uwezo huo ninao hakuna atakachokosa matumizi najua nimakubwa ila kwangu sioni tatizo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Tatizo hautaki kuukubali ukweli.
   
 9. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  duuuuh
   
 10. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mapenzi yanarun chit chat! Lolest!
   
 11. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Mpe makavu huyo,
  alijue jiji na Mataa yake.
  Mwambie watu hawakuja mjini kwa Mbio za Mwenge.
  Tumekuja mjini na Magari ya Mkaa hvyo tuna uchungu na Maisha.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Ukweli upi tena MENTION 4649633 Nakutegemea unipigie pande kumbe wewe ndo unataka kunipeperushia ndege wangu
   
 13. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Shemeji cacico mwaaah nimekumisije sasa?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #14
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Tena yamekua hayo MENTION Madame B hata mhusika hajaonekana umeanza kunipa kubwa
   
 15. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #15
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Hyo MENTION ndo namba ya utambulisho?
   
 16. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #16
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Mh!!
  Ngoja ninyamaze.
   
 17. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #17
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Nakutegemea sana MENTION Madame B
   
 18. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #18
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Poa nimekusoma
   
 19. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #19
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  mheshimiwa mkiva ukitaka kummention mtu , anza na herufi/alama @ kisha jina lake badala ya kuandika MENTION . haya jaribu kunijibu kuandika ahsante (@ c6) @ na jina ziwe zimeungana
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #20
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  kwamf: MENTION=@C6.AU MentION=C6?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...