Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 24,703
- 44,059
"Viongozi wa TFF na Bodi ya Ligi au Viongozi wanaosimamia mpira wakianza kuwa biased (kuwa na upendeleo) hili jambo linaendaga taratibu taratibu mwishoni linaanza kujitokeza, unaanza kujulikana una upendeleo"
"Mimi nimekuwa nikiangalia sana baadhi ya mechi zinazochezwa, unaona kabisa marefa ni kama wanapangwa hivi, timu moja inachezeshwa na marefa wa aina hiyo hiyo muda wote, kwa sisi wataalamu wa mpira na wajanja tunajua kabisa huyu refa anatembea na hii timu, lakini timu zingine zinaona na zikishaona mwisho zinafikiria TFF wanapendelea, wakati mwingine unaweza kukuta TFF hawapendelei ila vyombo vyake ndivyo vinavyofanya madudu" Amesema Eliud Mvela, Aliyekuwa Mkurugenzi wa kamati ya Sheria na hadhi ya wanachama na wachezaji TFF.