Elimu yetu tanzanaia tutathmini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu yetu tanzanaia tutathmini

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mtazamaji, Dec 20, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wakuu
  karibu tujaiaine kuhusu
  • mafanikio
  • Mapungufu,
  • changamoto na mambo mbali bali kuusu elimu inayotolewa Tanzania.
  Katika mada hii tuwe huru kuongeza mitaaala, wazazi, shule na wanafuznzi , wizara na vyombo vinavyohusika na na elimu iwe ni ya msingi, Sekondari au vyuo na hata Ufundi na mpaka chekechea


  Nitaanza na na maswali , chokonozi.
  Je
  • Elimu yetu inamuandaa mtu kujitegemea? Kama ndio ni katika level gani mtu anapata elimu hii na kama sio elimu hii ya kujitegemea ifundiswe wenye levele gani ?
  • Kwa nini kwenye vyuo vikuu hakuna utaratibu wa zile best project proposal kuwa funded ili wnafunzi wazifanyie kazi?
  • Mchango na mahusiaono kati ya mzazi shule na mwanafuzi uhusu elimu yana mchango gani katika katie kuboesha elimu. Ni nani wa kulaumiwa kw amatkeoa mabaya walimu, shule au waizara?
  • Niini chanzo na sababu baadhi ya shule kufanya vizuri na shule fulani ufanya vibaya.

  Na mwisho kabisa napenda kujua je jnini hasa sababu ya kusomaelimu dunia? nini hasa sababu ya mtu kutaka kwenda chuo ikuu na sio Chuo cha ufundi . Nini hasa sababu wa watu kupenda kupata Phd.

  Karibu tujadili
   
Loading...