Elimu yetu ni kipofu au mfumo ndio kipofu?

Stepha2030

Member
Jun 6, 2022
5
1
1. Tunaposema tumefanikiwa kuweza kuhakikisha asilimia kubwa ya vijana wetu kufika walao kidato cha nne, ni kwamba tumeongeza ufanisi kwenye ufundishaji na miundo mbinu ya Elimu au TUMEPUNGUZA UFANISI KATIKA UTUNZI NA USAHIHISHAJI WA MITIHANI??

2. Tunaowaita wabobezi wa maswala ya Elimu Tanzania na wanatoa maoni ya mitaala ya Elimu ni wabobezi kwa kufananisha mitaala yetu na ya mataifa mengine AU NI WABOBEZI WA KUFAHAMU MFUMO WA ELIMU YETU NA MAHITAJI YA JAMII YETU ?

3. Kujiajiri Bila kujua masuala ya fedha na Biashara ni jambo linalokaribia kutowezekana.

JE, MFUMO WA ELIMU YETU UNATOA ELIMU YA FEDHA NA BIASHARA? NA KAMA NDIO NI KWA UPANA NA UHALISIA UNAO ENDANA NA UHITAJI WA JAMII ZETU?
 
Back
Top Bottom